Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi looks beautiful right!?
Resemblance to cities in Europe.
Screenshot_20250731-101623.jpg
 
Kwanini mtalii wa Tanzania afikie kenya,mbona watalii wa kenya afikii Tanzania,serikali yetu imalize hii weakness,hawa kunyan ni kelele tu ila wao ndio wanufaika wakubwa wa TZ,hili zuio limewavua nguo kunyan,ndio maana unaona hawa mazwazwa wa humu hii mada wanaikwepa toka jana wa TZ tunapost humu lakini kunyan wamenyuti 😄,waanapost kisirani na arguement zingine 😄
Ndege zetu zikianza safari za kwenda Ulaya, maumivu yatakuwa mengi mno. Na wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha Ndege za Tanzania haziendi Ulaya. Watatumia Budget yao yote ya Kilimo, Afya na Miundombinu kuzuia hili lisitokee.
 
Seriously kweli nchi inayojitapa ipo mbele ya Tz miaka 20, GDP kubwa, Sarafu kubwa, Remittance kubwa, HDI kubwa per capita kubwa na taka taka zingine.

Wamefunga nchi kupiga ukunga kisa Tanzania kuwazuia kuja kuuza peremende, kunyoa, umachinga, lowest job.

Mbona wanajiaibisha sana, na ukiona sheria yenyewe imekuja baada ya malalamiko ya Wachina na mijitu yenyewe ilikua mbele kutusema chinese wanachukua kila kitu na kutukejeli, ajabu kuwakazia wachina ndio wao wanalia na makamasi
You should know these neighbours by now. They are an empty tin and an empty tin always sounds louder.
 
Kwanini mtalii wa Tanzania afikie kenya,mbona watalii wa kenya afikii Tanzania,serikali yetu imalize hii weakness,hawa kunyan ni kelele tu ila wao ndio wanufaika wakubwa wa TZ,hili zuio limewavua nguo kunyan,ndio maana unaona hawa mazwazwa wa humu hii mada wanaikwepa toka jana wa TZ tunapost humu lakini kunyan wamenyuti 😄,waanapost kisirani na arguement zingine 😄
Kwa sababu kampuni Za Kikenya zinajitanganza ku-offer packages Za Tanzania na hii inasababisha kukosa some revenues. It’s high time that has to stop!

Mimi naunga mkono huu uamuzi! Kila mtu ajitegemee na akilivurunda alivurunde na kulinywa kivyake! Mijitu miaka 60 baada ya Uhuru bado ina siasa za ukabila!
 
Ndege zetu zikianza safari za kwenda Ulaya, maumivu yatakuwa mengi mno. Na wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha Ndege za Tanzania haziendi Ulaya. Watatumia Budget yao yote ya Kilimo, Afya na Miundombinu kuzuia hili lisitokee.
Hamna haja ya ndege kwenda ulaya,mzee nchi zenye utalii na kuusimamia vizuri ndege zitakuja tu,angalia zenj france kisharudisha ndege zake,kunyan wananufaika na hili sababu ya uzembe wetu na kuna watu for sure wamesabotage kwa maksudi baadhi ya mashirika ya ndege yasije TZ
 
Ndege zetu zikianza safari za kwenda Ulaya, maumivu yatakuwa mengi mno. Na wanafanya kila wanaloweza kuhakikisha Ndege za Tanzania haziendi Ulaya. Watatumia Budget yao yote ya Kilimo, Afya na Miundombinu kuzuia hili lisitokee.
Si ndio maana juzi nilipinga MOU ya KQ na Air Tanzania! CEO wa AIR Tanzania inabidi a-cancel ile maneno!
 
Sure 😂😂😂 with Yutong ya 2018 dah, yaani used scrappers? Imagine unaogopa kuweka mikebe ya nyundo unaenda kuchukua kitu cha 2018 unachonanga
View attachment 3425477
Si walisema hawatumii mchina!!? Tena ni used, wakati Tz na Uganda wameingia vyuma vipya kabisa, si wangetumia gari wanazodai wanatengeneza wenyewe!!?? Hawa wanusa gundi ni useless kabisa.
 
Back
Top Bottom