Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Development of second phase of Siaya Stadium to start shortly.

Below are the renders.

1000036064.jpg
1000036065.jpg
1000036063.jpg
1000036066.jpg
 
It's biggger, no doubt.

Dalili nyingi ziko hivyo.

Kuna vitu vingi tunafanya kwa pesa za ndani effortlessly, ila Kenya ina struggle.

Mfano, wa karibuni tunajenga Stadium 2 mpya kwa mpigo ila Kenya uwanja mmoja wa Talanta ila inahemea juu juu kwa madeni.
Sisi priority yetu ipo pengine, kazi yenu ni kujiliwaza tu.. yani upeleke 500ksh tu kwa mwaka kwa kila mwanafunzi kusimamia masomo yake kisha ujipige kifua eti unatengeneza uwanja kwa fedha zako, huoni hata aibu
 
In 2024 remittance flows from Tanzania to Kenya amounted to approximately US $6.9 million, making Tanzania the largest African source of remittances to Kenya that year .


hivi how much does Tanzania get from kenya

🤣🤣🤣🤣
Mbona ndogo $6.9 mln tu?
 
Mama akilegeza kamba nitamdharau!
Ila kuihalisia hua tulisema foreigners tunamaanisha kwamba ni non-east Africans.

East Africans and SADC member citizens huwa Wana privilege siku zote!! Wakenya hawato katazwa...tatizo wamepanic sana.
 
Ila kuihalisia hua tulisema foreigners tunamaanisha kwamba ni non-east Africans.

East Africans and SADC member citizens huwa Wana privilege siku zote!! Wakenya hawato katazwa...tatizo wamepanic sana.
Acha wajivuruge ili tushughulike nao vizuri. Hata ukija kwenye domestic tourists wao huhesabiwa kama watu wa ndani hata records huwa zinaonesha ni wageni wa ndani
 
Back
Top Bottom