BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
Mnaota.Haya Maumivu yanayowapata wakenya ni makubwa sana, Wanatamani wangekuwa na uwezo hata wa kuvamia Tanzania. But wakiangalia kila kitu tunawazidi wanabaki kupiga kelele kwenye media. Hizo ni kanuni za waoga
View attachment 3426343
View attachment 3426344
View attachment 3426345
Hakuna kitu hapo