President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Bro, umewahi kupitia hata JKT? Do not negotiate with your enemy. Atajifanya mpole ili atafute wakati sahihi akuumizeKusema kweli hii issue wakenya ndio watakao athirika sana ikifuatiwa na wachina. Mnyonge myongeni haki yake mpeni. Gen Z wakiomba radhi kwa mama tutawaruhusu waendelee na kazi za kukusanya remitansi.