Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is our economy in reality not bigger than Kenya au?
It's biggger, no doubt.

Dalili nyingi ziko hivyo.

Kuna vitu vingi tunafanya kwa pesa za ndani effortlessly, ila Kenya ina struggle.

Mfano, wa karibuni tunajenga Stadium 2 mpya kwa mpigo ila Kenya uwanja mmoja wa Talanta ila inahemea juu juu kwa madeni.
 
mbona hatuwah kuwaona wakirudishwa kwanza wanaingiaje kenya bila passport?
Wewe kweli ni mjinga, who told you lazima ikuwe na passport ndio uingie Kenya? Mambo ya East Africa free movement hujui? Oooh pole, nilikuwa nasahau wewe ni myemen na hujui what happens in East Africa.
 
Eac protocol inaendana na Sheria za nchi husika ,
Mfano inajulikana kabisa mazao inatakiwa yanunuliwe kwenye masoko husika, either kwa njia ya mnada au na si kwa wageni hata wanunuzi wa ndani wale wakubwa ila wao wanataka wakanunue kwa wakulima direct halafu wafanye exportation hiyo sio sawa.
Hata kwenye hizo biashara inajulikana kabisa ili ufungue biashara Tanzania hata kama ni mwa EAC lazima upate business permit na visa,then unaweza Fanya biashara au ukafanya hiyo hawking, sasa wao wanakuja wanafanya biashara kwa kutumia permit ambayo Kila baada ya siku 90 wanatakiwa watoke , na mara nyingi hata hizo leseni wanazotumia si zao, halafu wanataka utaratibu.
EAC common market protocol hailazimishi uvunje Sheria za nchi husika kama wanataka kufanya biashara Sheria za tanzania zinajulikana , ukitaka kufanya leasing ya kilimo pitia TIC, sio kama wanavyofanya sasa hivi kwenda vijijin wananunua mazao kwa wakulima wanatumia leseni za kusafirisha ambazo zinapatikana kwa madalali tu, hakuna wanacholipa zaid ya ushuru.
Mtu anataka asafirishe mazao tan 300ila kwa kutumia leseni ya kidalali na zaid ya ushuru hakuna Kodi anayolipa
Kenge hao, linchi la kifala. Piga pini

Viongozi wasilegeze kitu.
 
Mkuu mimi sipotoshwi na mtu yeyote huwa nasimamia kile ninacho amini. Kama protocol ya EA inaruhusu hivyo tutakuwa hatuna jinsi ndio namaanisha hivyo.
Free movement haihusiani na kuvunja Sheria za nchi, ukiangalia kama hiyo namba 13 ambayo wanailalamikia sana , kuna wakenya kibao walikuwa wanaenda kununua mazao kwa ajili ya kuexport kwenda Kenya kinyume na utaratibu wa kupitia kwenye masoko ya bidhaa kama pale kibaigwa na sodeco songea.
Ili uweze kufanya biashara ya exportation ya mazao , je walikuwa wanatimiza hayo yote.
Ukiangalia kuna idadi ya watalii wengi ambao wanakuja kutoka kenya na Burundi ila hatuwakuti kwenye maeneo ya utalii, kwahiyo wanatumia kigezo Cha utalii kuja kufanya biashara ambazo kihali halisi haziko recorded.
Waje wafuate utaratibu sio kusingizia kuwa kwa sababu kuna watanzania wako Kenya nasi tuvunje taratibu zetu kwa ajili ya kuwa accommodate watu wao.
Kama kuna watanzania wanavunja taratibu kwa kutokuwa na vibali vya kufanya biashara husika nao wawatoe, ila sio mtu ana working or business permit kalipia 1000usd kwa mwaka umfukuze
 
Wawafukuze tuone? Eti utazuia malori yasiingie Kenya sawa . Wataagiza mbao kutoka Dubai🤣🤣🤣🤣.
Hatukubabaishwa na south Africa ije Kenya
Asee mimi lolote la kuwapiga pini hawa wakumbafu huwa naliunga mkono kwa asilimia 100 hata kama sikubaliani na serikali iliyopo madarakani. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom