Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kula chuma hicho
IMG_20250729_060920931.jpg

Then compare with this one 😬😬😬

IMG_20250319_171946841_AE.jpg
 
Yet your current installed generation capacity is 2500MW 😄😄😄
Tanzania is 4200MW, equivalent to Kenya + Uganda + Rwanda Combined
That capacity you have stated is just our consumption. Your consumption is barely 1300MW.
 
How the International Airport Passenger Terminal looks like.
JNIA , a masterpiece, a true architecture glimpse.
Kula chuma hicho,
Na bado msalato international airport in Dodoma , plus Zanzibar international airport, Plus Kilimanjaro international airport .
Currently this is the Largest and Modern airport passenger terminal in East and Central Africa.

Photos taken by two days ago.
View attachment 3426699View attachment 3426700View attachment 3426701View attachment 3426703
With a PAX of 1.5M Passengers, same number as Kisumu airport.
 
Mabasi ya namna hii mara ya mwisho kuyaona ni miaka ya 1998 nikiwa nasoma sekondari Singida Barabara za vimbi. Kuna basi moja lilikuwa linaitwa Super Najimunisa, Kumbe kuna nchi zipo bado miaka ya 1990s halafu zinajivunia.
Hahaha wakati huo Tz tulikuwa tuna fabricate internally kama wakunya wanavyojisifu ♌, nakumbuka kulikuwa na nganya zinaitwa King Cross zinachanja mbuga Iringa Dodoma by then Barabara ilikuwa unpaved. Barabara zilipojengwa tu Tz nzima na haya madude yakafa natural death, hata vile viwanda vya fabrication vilikufa na baadhi vilihamia Kenya.
Hayo madude hayana Soko Tanzania.
 
Are you aware that only 37% Tanzanians are connected to electricity? Do you have electricity in your house?
Nope, it's 85% +
Plus the access to electricity currently is over 90%
Before 2027 we will hit 100% is the Rural electrification project (REA) is ongoing to connect the remaining 1000 villages out of 12,000 countrywide.
 
Hahaha wakati huo Tz tulikuwa tuna fabricate internally kama wakunya wanavyojisifu ♌, nakumbuka kulikuwa na nganya zinaitwa King Cross zinachanja mbuga Iringa Dodoma by then Barabara ilikuwa unpaved. Barabara zilipojengwa tu Tz nzima na haya madude yakafa natural death, hata vile viwanda vya fabrication vilikufa na baadhi vilihamia Kenya.
Hayo madude hayana Soko Tanzania.
Brother hizo basi kama za wakenya za sasa, Tulitamba nazo sana miaka ya 1990s. Zilikuwa nzito balaa. Baada ya kuanzishwa mambo ya weighbridge zilikuwa nzito balaa, kila zikifika kwenye mzani zilikuwa lazima zipigwe faini.

Wakenya ndio wanajivunia nazo leo 🤣 🤣 🤣 🤣 Teargass miaka ya 1990s ulikuwa umezaliwa au bado?
 
Back
Top Bottom