Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Mama akilegeza kamba nitamdharau!Jiwe limerushwa gizani, Mwenye komwe ndio limempata😂
Mama akilegeza kamba nitamdharau!Jiwe limerushwa gizani, Mwenye komwe ndio limempata😂
Hakuna anayelegeza kamba kaka. Utasikia maelezo leo atakayoyatoa hapo kwenye Industrila Park.Mama akilegeza kamba nitamdharau!
Chondechonde wasije wakaruhusu ujenzi wa kijuakali, dodoma ibaki kuwa world class siku zote, kama huna pesa nenda miji mingine au dodoma ndani ndani hukoo, tusije kutengeneza Nairobi au Dar mpya hapo Dodoma.
Tuwekee na ya pipeline kabisa tuone inafanana na wapi.
Yaan akilegeza kamba ntavunjika moto mpaka basiMama akilegeza kamba nitamdharau!
Atalegeza tuu kwa EA citizens hakuna jinsi hii haijakaa sawa na EA protocols.Hakuna anayelegeza kamba kaka. Utasikia maelezo leo atakayoyatoa hapo kwenye Industrila Park.
Hakuna protocol (MoU) ya EA member kwenda kufanya biashara nchi nyingine Kama upo mkataba naomba uuweke hapa.Atalegeza tuu kwa EA citizens hakuna jinsi hii haijakaa sawa na EA protocols.
Hao nyau juzi tu walikua wanalalamika vibarua wa burundi kuchukua kazi wanazoweza kuzifanya pale ukundunistan 😄Jiwe limerushwa gizani, Mwenye komwe ndio limempata😂
Kwenye tour guide asilegeze otherwise watanzania nao waruhusiwe kuwaguide watalii ndani ya kunyaland,kazi za hotel pia na kwenye kilimoAtalegeza tuu kwa EA citizens hakuna jinsi hii haijakaa sawa na EA protocols.
Eac protocol inaendana na Sheria za nchi husika ,Atalegeza tuu kwa EA citizens hakuna jinsi hii haijakaa sawa na EA protocols.
Tatizo hawaweki wazi tatizo ni nini? TRC wako kimya.bado hatuko serious makutopora tabora ina 14% wakat ina almost 4 yrs now
alaf tabora isaka 6.8% just 165km for about 3 yrs now
BIG NO❌ bado kunashida kubwa
Huwa wako hivyo miaka yoteTatizo hawaweki wazi tatizo ni nini? TRC wako kimya.
Hatuwezi solve matatizo kwa kukata kimya...alisemaga Magufuli
Article 10 ya PROTOCOL ON THE ESTABLISHMENT OF THE EASTAFRICAN COMMUNITY COMMON MARKETEach protocol inaendana na Sheria za nchi husika ,
Mfano inajulikana kabisa mazao inatakiwa yanunuliwe kwenye masoko husika, either kwa njia ya mnada au na si kwa wageni hata wanunuzi wa ndani wale wakubwa ila wao wanataka wakanunue kwa wakulima direct halafu wafanye exportation hiyo sio sawa.
Hata kwenye hizo biashara inajulikana kabisa ili ufungue biashara Tanzania hata kama ni mwa EAC lazima upate business permit na visa,then unaweza Fanya biashara au ukafanya hiyo hawking, sasa wao wanakuja wanafanya biashara kwa kutumia permit ambayo Kila baada ya siku 90 wanatakiwa watoke , na mara nyingi hata hizo leseni wanazotumia si zao, halafu wanataka utaratibu.
EAC common market protocol hailazimishi uvunje Sheria za nchi husika kama wanataka kufanya biashara Sheria za tanzania zinajulikana , ukitaka kufanya leasing ya kilimo pitia TIC, sio kama wanavyofanya sasa hivi kwenda vijijin wananunua mazao kwa wakulima wanatumia leseni za kusafirisha ambazo zinapatikana kwa madalali tu, hakuna wanacholipa zaid ya ushuru.
Mtu anataka asafirishe mazao tan 300ila kwa kutumia leseni ya kidalali na zaid ya ushuru hakuna Kodi anayolipa
Do they accept you as a big brother au shobo lako tu??As a big brother in this region we have a moral responsibility to look after the minor ones. Kule kukilipuka hata sisi watatupa taabu na kutuvurugia ustaarabu wetu saa nyingine lets focus mbele zaidi.
Ni FUNDING.Tatizo hawaweki wazi tatizo ni nini? TRC wako kimya.
Hatuwezi solve matatizo kwa kukaa kimya...alisemaga Magufuli
Hawajazuiliwaa ila wafuate Sheria za ufanyaji biashara ambazo zinawataka wawe na business permit kwa biashara husika , kama wanataka kufanya exportation ya mazao Sheria Iko wazi lazima ufanye manunuzi kupitia minada na masoko yanayotambulika badala ya kwenda kwa wakulima direct, hii yote ni ili kubalansi upatikanaji wa mapato kwenye halmashauri zetu.Hebu ipitie hapa EAST AFRICAN COMMUNITY COMMON MARKET
Hasa hasa soma Article 10 Inayoongelea Movement of Labour. Ukiisoma kwa kina 10(11)
View attachment 3425781