Yaani wakenya wanahangaika kweli. 🤣🤣🤣🤣 na wanajiita matajiri
View: https://youtu.be/m055eeYbm5c?si=vYD4GCOVJ_TlxBpo
Wasome hapa:
TIC | What criteria do investors need to have to register the project with the Center?
Tanzania Investment Centre (TIC) | Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)www.tic.go.tz
Serikali ya Tanzania haiwezi ku create jobs kwa jobless wa Kenya. Kenya inatakiwa itengeneze jobs kwa watu wake.
Thank you for at last resting this debate . Kenyans farm in TZ. Wale walikuwa wananipiga wako wapi?…😄😄Kuna famers wapo kutoka Kenya, ila ni very few na we know them.
Dawa yao imeshapatikana
nimewahi kuleta video humu wakenya 6 walikamatwa wanalima huko RuvumaThank you for at last resting this debate . Kenyans farm in TZ. Wale walikuwa wananipiga wako wapi?…😄😄
Halafu wakina engineer Hersi walitaka kumfanyia figisu Karia! Watu wacheze mpira waache fitna!Dah Bongo kuna mapesa
Miaka mitatu
View attachment 3425998
Miaka 10 inakua hivi
View attachment 3426002
We maku lazy direct flight ndio nn maku,ebu tutajie account inayolilia sheria za TZ kule x maku wwIs there a direct flight to UK from your lazy nation. KQ does NY, London and other European cities none stop. Your loss making airline is still doing local routes kama Matatu.
Are you sure ?… Keep up …🤣🤣🤣Hakuna mkulima wa kikenya huku labda hawkers na bodaboda
His family roots are Yemen like you …Could be your long distance cousin..😁😁ulitka acheze wapi gor mahia team haina hata banda la choo😂😂😂😂
Kujiwekea sheria yetu ndio unafiki,kuna watu wenye roho mbaya,wivu na unafiki kama wakunya ukanda huu,ukimuona mkunya yuko nawe karibu basi ananufaika na kupitia wewe,mnachomfanyia rostam na bakhresa ndicho mnachowafanyia wawekezaji wengi wa kutoka TZ but nyie huku mmejaa kuanzia wezi,bar maids,gardener,tour guide,mashambani huko mmejaa kama wote,pambaneni na hali yenu wajinga nyinyiHamna kosa, ila mna roho mbaya na unafiki.
You just answered your own question… but the word limited is applicable in this sense since we are not a communist nation regardless of how the land ownership was achieved. Rectification is a debate for another day..Lies, land in kenya is not limited, the truth is, large fertile land is owned by politicians and colonisers akina Lor Delamere.
ila ya jayrutty ni ya over 5 yrs2019. Simba ilianza na UHLSPORT
Kwa Tsh. 600m
2021 - Vunjabei 2bn
2023- Sandaland 4bn
2025 - Jayrutty 38bn ($15m) biggest in EA.
huyo karia ndio alitaka kuvuruga kabisa mpira wa tanzania kiongozi anaongea pumba tu muda woteHalafu wakina engineer Hersi walitaka kumfanyia figisu Karia! Watu wacheze mpira waache fitna!
tulia sasa sindano ipenye kondoo ww😂😂His family roots are Yemen like you …Could be your long distance cousin..😁😁
Umetazama video ya hiyo post uliyoquote wewe Malaya?I don't see other countries National Tv na almost nchi nzima kujazana kupiga ukunga kama Nyie Kunyans.
Yaani hata ziara ya Rais wa Uganda haijulikani, habari nzima ya Nchi ni kuzuiwa umachinga.
I don't engage gays.Brother unaweza kweli kujadiliana na mimi? Maana akili yako dunia yote inaijua kuwa ni below standard
Waulize tangu Ruto aingie wame-violate mara ngapi common market protocols?Eac protocol inaendana na Sheria za nchi husika ,
Mfano inajulikana kabisa mazao inatakiwa yanunuliwe kwenye masoko husika, either kwa njia ya mnada au na si kwa wageni hata wanunuzi wa ndani wale wakubwa ila wao wanataka wakanunue kwa wakulima direct halafu wafanye exportation hiyo sio sawa.
Hata kwenye hizo biashara inajulikana kabisa ili ufungue biashara Tanzania hata kama ni mwa EAC lazima upate business permit na visa,then unaweza Fanya biashara au ukafanya hiyo hawking, sasa wao wanakuja wanafanya biashara kwa kutumia permit ambayo Kila baada ya siku 90 wanatakiwa watoke , na mara nyingi hata hizo leseni wanazotumia si zao, halafu wanataka utaratibu.
EAC common market protocol hailazimishi uvunje Sheria za nchi husika kama wanataka kufanya biashara Sheria za tanzania zinajulikana , ukitaka kufanya leasing ya kilimo pitia TIC, sio kama wanavyofanya sasa hivi kwenda vijijin wananunua mazao kwa wakulima wanatumia leseni za kusafirisha ambazo zinapatikana kwa madalali tu, hakuna wanacholipa zaid ya ushuru.
Mtu anataka asafirishe mazao tan 300ila kwa kutumia leseni ya kidalali na zaid ya ushuru hakuna Kodi anayolipa
Chokoraa wenzako wanavuta gum huku Kenya. Unakuja lini tukuekee yako pia?We maku lazy direct flight ndio nn maku,ebu tutajie account inayolilia sheria za TZ kule x maku ww