Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani Stadium.

1000033079.jpg
1000033078.jpg
 

Aisee hii ni aibu sanaa, kazi zilizopigwa marufuku nyingi ni zile kazi jua kali a.k.a kazi za walalahoi. Hii inaleta tafsiri kwamba wakenya wengi wanafanya kazi za kijuakali hapa Tanzania, na hii inajibu lile swali la kwamba kwnn wale ombaomba wasiwarudishe kama kweli ni watanzania. Ukweli ni kwamba ombaomba wale ni wakenya wenzao na ndiyo mana hawawezi ku retaliate. Wakenya mnajiaibisha sana na tunazidi kuwadharau.
 
Back
Top Bottom