Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna hoja no kupoteza muda
Hiyo hoja umeshindwa kuitolea maelezo naona uemanza kujificha kama panya 🤣 🤣 🤣 🤣

Nashukuru kwa majibu yako, ingawa hayajajibu hoja niliyoweka. Lakini kwa manufaa ya wasomaji wengine wa mjadala huu, nitaeleza kwa kifupi tena ili iwe wazi:

Urefu wa Treni na Passing Loops kwenye MGR:
Vituo (passing loops) vya MGR Tanzania vimejengwa kwa treni za kawaida zenye mabehewa 20–30 tu.
Treni yenye mabehewa 100 inaweza kuwa na urefu wa zaidi ya mita 1,000–1,200, kulingana na aina ya behewa.

Hoja iko wazi: Miundombinu ya MGR Tanzania haijasanifiwa kupokea au kupisha treni za mabehewa 100 bila mabadiliko makubwa. Hili si wazo la kubuni, ni uhalisia wa kijiinjinia (engineering constraint).

Ukipenda uchukue au uache ni shauri yako​

 
Unavijua vituo vya mizigo vya mgr? Ni pungu Moro Dom, tabora, isaka
Kwahiyo unataka kutuambia hapo hakuna njia walau nne za kupaki treni zenye kuweza panga behewa 30 kwa wakati?🤣🤣🤣🤣
Hujaleta solution ya hilo tatizo tumekuuliza issue hiyo utaitatuaje? Leta solution na cost yake
 
Umesoma mpaka level gani mpaka ushindwe kutofautisha kati ya electricity production na access?
You are simply looking for an escape route now. I have pushed you to the wall and debunked your lies and laid them bare. And you are now asking me whether I know this or that! Show us your country's electricity access rate tulinganishe
 
Stop twisting this thing to fit your own narrative. The WB report does not in anyway talk about poor COUNTRIES. It talks about poor POPULATIONS living in specific countries. A country can be rich but has lots of poor people. I can give you examples from across africa. If it's about countries' wealth, then DRC is even wealthier than Nigeria if you didn't know. It has huge deposits of minerals not found in many African countries. But has that stopped it from featuring in the list of having PEOPLE living in extreme poverty? The answer is no! Even your own country Tanzania is richer than Kenya resource-wise but it still has more people living in extreme poverty than Kenya.

Now engage your brain for once and stop creating your own stories which contradict what's contained in that WB report.
Your statement goes against the first comment you made that Tanzania is the poorest in the region.

I'm glad you learnt that having a largest number of people living below the index doesn't make the country the poorest, by saying so, you were wrong by mentioning Tanzania as the poorest country in E.Africa.

Naimani miraa na mirungi ikipigwa marufuku huko Kenya, vijana wengi wa Kenya ukiwepo wewe mtakua na akili tofauti na sasa mnavyotumia kichwa kama mtungi wa kuhifadhia mate.

HINT: The poorest country in East Africa is South Sudan, anyone who claims otherwise should go to Mirembe or Mathare mental hospital akamalizie dawa zake. Am off
 
Kenya’s mockery by Muhoozi is can be compared to Kim Jong Un mocking the US yet he has never advanced

View: https://x.com/aleksbrz11/status/1932540849314832581?s=46

View: https://x.com/hehe_samir/status/1942424871322951798?s=46

Ivi nyie jamaa mnaifikia USA nini hadi mjilinganishe while kwenye gwaride mnaweka backhoe, bulldozer?

1000122057.jpg

Screenshot_2024-02-27-16-29-49-639_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_2024-02-27-16-30-05-005_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_2024-02-27-16-30-53-244_com.google.android.youtube.jpg
Screenshot_2024-02-27-16-30-07-489_com.google.android.youtube.jpg
Kunyans ni vichekesho tupu.
 

Bila Tanzania hawawezi chochote. Kenya ni imekuwa nchi ya ibilisi, mambo wanayoyafanya ni kishetani shetani tu. Kuongelea chakula, maandamano na vitu vinavyofanana na hivyo. Kuvaa ovyo ovyo, kujiweka kama vichaa. Wimbo wa Mbosso mzuri lakini wao wameuweka kishetani shetani tu.

Hizo ndizo dalili za failed states.
 
You are simply looking for an escape route now. I have pushed you to the wall and debunked your lies and laid them bare. And you are now asking me whether I know this or that! Show us your country's electricity access rate tulinganishe
We were talking about leading in electricity production buda.
 
Back
Top Bottom