Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bila Tanzania hawawezi chochote. Kenya ni imekuwa nchi ya ibilisi, mambo wanayoyafanya ni kishetani shetani tu. Kuongelea chakula, maandamano na vitu vinavyofanana na hivyo. Kuvaa ovyo ovyo, kujiweka kama vichaa. Wimbo wa Mbosso mzuri lakini wao wameuweka kishetani shetani tu.

Hizo ndizo dalili za failed states.
 
Kwenye Top 10 wiki hii nyimbo zinazombamba huko Kenya 6 ni za Tanzania.
Ushahidi huu hapa:

1752419212688.png
 
You are simply looking for an escape route now. I have pushed you to the wall and debunked your lies and laid them bare. And you are now asking me whether I know this or that! Show us your country's electricity access rate tulinganishe
We were talking about leading in electricity production buda.
 
View attachment 3403183

View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=Et3gkwOjOjcN8rWLmH_tJw&s=19

Dah! Hamchoki tu na vidata outdated ndio faraja yako eeh.

Haya tuletee some news like this tuzibitishe kweli

Tajiri bei ya unga kali anavumbua Unga wa NYASI 😂

View: https://youtu.be/NulT5_3okLs?si=vowrk9DEiYsELxhZ

Tajiri ambae Ugali ni Mzito kuliko damu

1000122074.jpg

View: https://x.com/ntvkenya/status/1892408915360452963

Tajiri anajigeuza Mkimbizi ili mradi ale

IMG_20250713_172051.jpg

IMG_20250713_172256.jpg

Matajiri wametajirika sana yaani gari ikiangusha soda za jero ni sherehe mpaka matikiki.

Bado sijagusia kule Turkana.

Yaani news za kimasikini masikini ni Ukunya
 
Dah! Hamchoki tu na vidata outdated ndio faraja yako eeh.

Haya tuletee some news like this tuzibitishe kweli

Tajiri bei ya unga kali anavumbua Unga wa NYASI 😂

View: https://youtu.be/NulT5_3okLs?si=vowrk9DEiYsELxhZ

Tajiri ambae Ugali ni Mzito kuliko damu

View attachment 3404579

View: https://x.com/ntvkenya/status/1892408915360452963

Tajiri anajigeuza Mkimbizi ili mradi ale

View attachment 3404583

View attachment 3404597

Matajiri wametajirika sana yaani gari ikiangusha soda za jero ni sherehe mpaka matikiki.

Bado sijagusia kule Turkana.

Yaani news za kimasikini masikini ni Ukunya

Kummmmke😂😂😂
 
Back
Top Bottom