Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They hate Tanzania with a passion.
Wivu! Usisahau hali ni mbaya Ukunduni! Zao la Chai linahemea survival huku mdau wao mkuu Sudan anatia ngumu na tourism ndio hivyo GenZ wanaichamba dole wakijua wameamua ku-serve siasa za Ukabila badala ya economics! Usisahau Trump ka-introduce tax on remittance!

Mwaka kesho muda kama huu tutarudi hapa kuangalia revenue yao ya tourism lazma ishuke! Na kumbuka this is 2025 kuna 2026 na 2027 kote huko utalii utashuka huko Ukunduni!
 
Wengine wamefikia hatua ya kusema Wildbeast Migration u happen Kenya pekee😂😂 wengine ati Tz ilitengeneza USD 90million pekee.

Sijui unyangau wataachaga lini wakenya.
Waunganishe vimbuga vyao vyote bado aziifiki serengeti kwa ukubwa,utakuta serengeti iko full watalii,ngorongoro iko full,hapo mikumi na znz but ikija data kunyan wanaongeza sifuri 😃😃looser hamna wanachopata zaidi ya kujikweza
 
Kasarani stadium.
CHAN finals are waiting in peace
FB_IMG_1752251219015.jpg
FB_IMG_1752251223746.jpg
FB_IMG_1752251228616.jpg
FB_IMG_1752251233148.jpg
FB_IMG_1752251238405.jpg
FB_IMG_1752251245890.jpg
FB_IMG_1752251251061.jpg
FB_IMG_1752251265623.jpg
 
Poverty rate hizo za mchongo ila kwa ground sifuri!?
Kumbuka TZ hatuandamani kisa unga wa ugali kama Kenya.
Kumbuka masikini wa TZ hawalali kwenye nyumba za mabati kama Kenya.
Lazima ziwe za mchongo coz it places Kenya ahead of your country. When the same bodies give data that places your country ahead of Kenya, wanasifiwa na kumiminiwa maneno matamu. Nawahurumia kiukweli
 
Lazima ziwe za mchongo coz it places Kenya ahead of your country. When the same bodies give data that places your country ahead of Kenya, wanasifiwa na kumiminiwa maneno matamu. Nawahurumia kiukweli
Nimekupa maelezo hapo umewahi ona Tz tunaandamana kisa ugali?
Umewahi ona Tz maskini wanalala kwa nyumba za mabati tupu?
Umewahi ona Tz kuna hunger and famine?
Jibu swali.
 
Kenya’s mockery by Muhoozi is can be compared to Kim Jong Un mocking the US yet he has never advanced

View: https://x.com/aleksbrz11/status/1932540849314832581?s=46

View: https://x.com/hehe_samir/status/1942424871322951798?s=46

Huwenda ni mtoto mdogo hujui nguvu ya jeshi la N.Korea.
N.Korea nyuma kuna China aliyemfanya ampige south Korea na mshirika wake USA kwenye vita za Korea.
Missile production anasaidiwa kiteknolojia na China pamoja na Iran.
Wewe jidanganye kuwa haja advance.
 
Huwenda ni mtoto mdogo hujui nguvu ya jeshi la N.Korea.
N.Korea nyuma kuna China aliyemfanya ampige south Korea na mshirika wake USA kwenye vita za Korea.
Missile production anasaidiwa kiteknolojia na China pamoja na Iran.
Wewe jidanganye kuwa haja advance.
To advance as in to attack, follow the context acha kurukia stori tu randomly bila kuelewa nachokiongelea.
 
Back
Top Bottom