Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani tan 10,000 ni mabehewa mangapi ya mgr?
Au hujui behewa moja ya mgr linabeba tan 40 na inahitaji mabehewa 250 tu ambazo ni kama treni 4 za mgr .
Kaka tafuta taarifa sahihi badala ya kuweka mawazo yako na matamanio yako. Unapotosha watu humu. Tanzania MGR inafunga 20 wagons, kila wangon inabeba 46 tani, jumla 920 tani kwa trip. Speed yake ni 30–50 km/h. Tueleze treni moja itafika muda gani Mwanza. Kutoka dodoma kwenda mwanza itatumia masaa 16–24

Ili kubeba 10,000 toni itahitajika trip 11 za MGR.
Soma maelezo haya hapa:

Unaongea theories siyo uhalisia. 🤣🤣🤣🤣 Treni moja ya mgr inafunga mabhewa 20.
Chukua 250/20 utapata = 12.5 treni, ~13 treni. Unajua Math kweli?
 
Brother unaleta ubishani wa kitoto sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ya SGR ya abiria izidi ya mizigo. This is stupid discusion. Cost ya ujenzi wa SGR ya tanzania estimated at $10 billion (26 trillion Tanzanian shillings). Kwa biashara ya abiria hizo pesa unazirudisha baada ya miaka mingapi?.
Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.
Tuliwahi sema hivyo hata kipindi Cha ttcl ambayo baadae ilikuwa ikazaaa Zain Africa( mtaji ulipatikana ttcl) na watu kama nyinyi walipinga kabisa kuwa simu haziwezi leta faida matokeo yake Zain ikapata mtaji huku ttcl ikifirisika
Unajitutumua uonekane upo na akili kumbe ni hopeless tu.
Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeni
Unaleta maneno ya hisia tu bila ukweli wowote. Mimi ninakuletea taarifa na evidences. Uwezo wa behewa moja ni 120t. Soma hapa:
Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.

Axile load ni Tani 35. Behewa moja lipo na Axiles 4. 35x4 = 140ton, 20ton ni uzito wa behewa lenyewe. Then 120t ni uzito wa mzigo.
Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.
Tare weight is the weight of an empty container or vehicle, excluding any cargo or payload. It's essentially the weight of the packaging, container, or transportation device itself. Knowing the tare weight is essential for accurately calculating the net weight of goods being shipped or transported.
Unazingua kinyama.
Acha uchawa kwanza
Check hapa behewa linavyoonekana. Lipo na mataili 8, kila Axile ipo na mataili mawili.

View attachment 3403640

ACHA UJINGA KAKA NAKUOMBA UJIELIMISHE HATA KIDOGO GOOGLE BADALA YA KUTUTIA AIBU HUMU JF

Kaka tafuta taarifa sahihi badala ya kuweka mawazo yako na matamanio yako. Unapotosha watu humu. Tanzania MGR inafunga 20 wagons, kila wangon inabeba 46 tani, jumla 920 tani kwa trip. Speed yake ni 30–50 km/h. Tueleze treni moja itafika muda gani Mwanza. Kutoka dodoma kwenda mwanza itatumia masaa 16–24
Kwahiyo wewe umeambiwa haiwezi funga kichwa kingine ikavuta behewa hata 40 ,
Hivi unajua wengine mpaka tunamaliza vyuo ndo ilikuwa usafir wetu, inawezekana wewe ndo unaijua mgr sasa hivi
Ili kubeba 10,000 toni itahitajika trip 11 za MGR.
Soma maelezo haya hapa:

Unaongea theories siyo uhalisia. 🤣🤣🤣🤣 Treni moja ya mgr inafunga mabhewa 20.
Chukua 250/20 utapata = 12.5 treni, ~13 treni. Unajua Math kweli?
Kwahiyo mgr haiwezi vuta behewa 60 ikiwa na vichwa zaidi ? Unajua chalenji ni kupanda mlima salanda tu na ndo kisa Cha kuweka limit ya hayo mabehewa na bado Kuna alternative ya kuweka vichwa zaid ili kufanya uvutaji uwe mkubwa.
Acha kukariri Kila kitu kinawezekana ila tumeaminishwa haiwezekani.
Malaysia Wana mgr ya abiria inapigwa mpaka 140km/hr ila njoo kwetu sasa.
Tembea uone usikariri

The world's fastest meter gauge train is the KTM ETS (Electric Train Service) in Malaysia. It operates on the West Coast Line, reaching a maximum speed of 140 km/h (87 mph). While other trains may reach higher speeds in test runs, the KTM ETS is the fastest in regular, commercial passenger service on meter gauge tracks.
 
Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.
Tuliwahi sema hivyo hata kipindi Cha ttcl ambayo baadae ilikuwa ikazaaa Zain Africa( mtaji ulipatikana ttcl) na watu kama nyinyi walipinga kabisa kuwa simu haziwezi leta faida matokeo yake Zain ikapata mtaji huku ttcl ikifirisika

Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeni

Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.

Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.
Tare weight is the weight of an empty container or vehicle, excluding any cargo or payload. It's essentially the weight of the packaging, container, or transportation device itself. Knowing the tare weight is essential for accurately calculating the net weight of goods being shipped or transported.

Acha uchawa kwanza
Kwikwikwi. Unaropoka. Evidence ya haya matapu tapu yako unazitoa wapi?
 
Kwahiyo wewe umeambiwa haiwezi funga kichwa kingine ikavuta behewa hata 40 ,
Hivi unajua wengine mpaka tunamaliza vyuo ndo ilikuwa usafir wetu, inawezekana wewe ndo unaijua mgr sasa hivi
Unaropoka. Uwezo wako upo chini ya kiwango. Nimekudharau kuanzia leo. Wewe ni hopeless. Hakuna ushahidi wowote umeweka. Huna tofauti na Teargass anayeishi kwenye UTOPIA.

Umri wako kwanza ni miaka mingapi? Nisije kuwa najadili na katoto kadogo. Kwikwikwi.
 
Kwahiyo mgr haiwezi vuta behewa 60 ikiwa na vichwa zaidi ? Unajua chalenji ni kupanda mlima salanda tu na ndo kisa Cha kuweka limit ya hayo mabehewa na bado Kuna alternative ya kuweka vichwa zaid ili kufanya uvutaji uwe mkubwa.
Acha kukariri Kila kitu kinawezekana ila tumeaminishwa haiwezekani.
Malaysia Wana mgr ya abiria inapigwa mpaka 140km/hr ila njoo kwetu sasa.
Tembea uone usikariri

The world's fastest meter gauge train is the KTM ETS (Electric Train Service) in Malaysia. It operates on the West Coast Line, reaching a maximum speed of 140 km/h (87 mph). While other trains may reach higher speeds in test runs, the KTM ETS is the fastest in regular, commercial passenger service on meter gauge tracks.
Weka huo ushahidi MGR ya Tanzania ikivuta hizo behewa 100. Unaandika matapu tapu. kwikwikwikwi
 
Ndo maana kasema TRC SGR iwekwe stock exchange, watu wanunue hisa huko. Wenye shares waamue jinsi ya kumake profits
Serikali isimamie uwajibikaji na kuchukua Kodi zake.

Same with UDART, Air Tanzania, TTCL nk
The moment trc itaanza kumilikiwa kwa mfumo wa hisa maanaa yake ni kampuni binafsi, hainaa maana tenaa ni bora kampuni binafsi zije na mabehwa yao wachaji premium ili kuleta ushindanii
 
Unaropoka. Uwezo wako upo chini ya kiwango. Nimekudharau kuanzia leo. Wewe ni hopeless. Hakuna ushahidi wowote umeweka. Huna tofauti na Teargass anayeishi kwenye UTOPIA.

Umri wako kwanza ni miaka mingapi? Nisije kuwa najadili na katoto kadogo. Kwikwikwi.
Tatizo lako ni uchawa , hufikirii nje ya box,
 
Weka huo ushahidi MGR ya Tanzania ikivuta hizo behewa 100. Unaandika matapu tapu. kwikwikwikwi
Bro mzee wangu anafanya kazi relini na hilo pia nalifahamu.
Anachosema bro ni ukweli,Mgr inaweza kuvuta behewa nyingi ukiongezea engine ya kuvuta,usibishe embu jaribu kupanua ubongo kidogo kuruhusu mawazo mapya kaka.
 
Kwanza hakuna anayesema mizigo hailipi ila nimechokuelekeza kuwa hata tukisema usimamie abiria vizuri kwa sasa Inaweza lipa zaid unavyofikiria, inahitaji kupata watu sahihi wakufanya hiyo kazi.
Tuliwahi sema hivyo hata kipindi Cha ttcl ambayo baadae ilikuwa ikazaaa Zain Africa( mtaji ulipatikana ttcl) na watu kama nyinyi walipinga kabisa kuwa simu haziwezi leta faida matokeo yake Zain ikapata mtaji huku ttcl ikifirisika

Hakuna anayetaka kuonekana anakili ila wewe unashindwa kuiweka uccm wako pembeni

Sio hisi inatakiwa ufikirie nje comfort zone.

Hebu soma tare weight ya hayo mabehewa ni ngapi. Ukipata tare weight ya 120 najitla jf.
Tare weight is the weight of an empty container or vehicle, excluding any cargo or payload. It's essentially the weight of the packaging, container, or transportation device itself. Knowing the tare weight is essential for accurately calculating the net weight of goods being shipped or transported.

Acha uchawa kwanza
Mkuu maelezo yako yameeleweka sana hususan sehemu mbili.
Kwanza mahesabu ya abiria na mizigo,HUWEZI ukasema unapakia na kupakua mizigo Kila siku hapana huo ni uongo.
Kuna siku mizigo itakua haipo na pia Kuna duration ya kupakia na kupakua mizigo utakapoufikisha.
Ilhali treni ya abiria inaweza ikapiga go and return hata mara tatu nne na ya mizigo haijafanya hivyo.
Kama treni ya abiria ikasimamiwa ipasavyo basi italeta faida pia sana tu,mbona hilo tunaliona hata kwa shirika la reli la China?
China Ina wasafiri wengi sana hususan kwa njia ya reli na shirika linaingiza faida vizuri tu.

Pia ni sahihi mgr Ina uwezo wa kuvuta mzigo mkubwa kama ikaunganishwa engine zaidi ya moja kupata kusapotiana hilo lipo na linawezekana japo mwendo hautakuwa WA haraka kiasi hicho.
Maelezo yako yameeleweka sana Wala hata sio kidogo.
 
Back
Top Bottom