Nawajua wakenya kwa kuruka ruka na kuhama mada.To advance as in to attack, follow the context acha kurukia stori tu randomly bila kuelewa nachokiongelea.
Mkiambiwa hili mnahamia pale,narudia tena huwenda wewe mtoto mdogo hujui nguvu ya N.korea.
Ila USA waliopigana Jangsari 1959 wanajua balaa lake.