concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kazi ya halmashauri ni kutoa huduma ila inakuwaje sasa hivi wanakuwa mpaka na viwanda kama vya tofari au vifaa kwa ajili ya kukodisha.Naona unazikimbia hoja zangu unakimbilia kuongelea theories 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 TPA wafanye kazi gani? Unalijua somo la mgawanyo wa majukumu? Naona umezoea kuuza duka la mangi, mafuta ya taa na mchele zinakaa sehemu moja Dunia imeshaondokana na mawazo hayo ya ujima na uchuuzi. Kila jambo linafanywa kwa mpangilio siyo ovyo ovyo tu eti kwa sababu unaweza kupata faida.
Hivi Samia anaposimama na kusema kuwa Kila taasisi iumize kichwa ni kwa namna gani itakuza mapato wewe unaelewa nini.
Tolea maelezo mambo haya:
1. Mwazo ulianza na kuiponda SGR nikakuelimisha ukakaa kimya bila hata kusema asante.
2. Ukaja kuanza kuisifia MGR vs SGR nimekuelimisha hujasema asante.
3. Ukaja na issue ya TRC kujenga Dry ports nikakupatia elimu, ukakaa kimya bila kusema asante.
4. Ukaja kusema TRC wana miliki Meli nikakuomba utupatie ushahidi ukatokomea porini.
5. Ukaja ukadanganya kuwa SGR ya tanzania uwezo wake ni 75 ton nikakupatia ushahidi kuwa 120 ton ukapotea
6. Ukaja na uongo wa kuwa treni nne tu za MGR zinaweza kubeba 10,000 tons, nikakushushua kuwa unaongea uongo.