Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lush green Nairobi
IMG_8547.jpeg
IMG_8543.jpeg
IMG_8546.jpeg
 
Lazima ziwe za mchongo coz it places Kenya ahead of your country. When the same bodies give data that places your country ahead of Kenya, wanasifiwa na kumiminiwa maneno matamu. Nawahurumia kiukweli
Nimekupa maelezo hapo umewahi ona Tz tunaandamana kisa ugali?
Umewahi ona Tz maskini wanalala kwa nyumba za mabati tupu?
Umewahi ona Tz kuna hunger and famine?
Jibu swali.
 
Kenya’s mockery by Muhoozi is can be compared to Kim Jong Un mocking the US yet he has never advanced

View: https://x.com/aleksbrz11/status/1932540849314832581?s=46

View: https://x.com/hehe_samir/status/1942424871322951798?s=46

Huwenda ni mtoto mdogo hujui nguvu ya jeshi la N.Korea.
N.Korea nyuma kuna China aliyemfanya ampige south Korea na mshirika wake USA kwenye vita za Korea.
Missile production anasaidiwa kiteknolojia na China pamoja na Iran.
Wewe jidanganye kuwa haja advance.
 
Huwenda ni mtoto mdogo hujui nguvu ya jeshi la N.Korea.
N.Korea nyuma kuna China aliyemfanya ampige south Korea na mshirika wake USA kwenye vita za Korea.
Missile production anasaidiwa kiteknolojia na China pamoja na Iran.
Wewe jidanganye kuwa haja advance.
To advance as in to attack, follow the context acha kurukia stori tu randomly bila kuelewa nachokiongelea.
 
Those are real images Methuselah 🤣🤣🤣
Nairobi itazidi kuwashangaza. Alianza kwa kushangaa Nyerere mwenyewe and years later, vitukuu wake bado wanashangaa
Its a whole surprised lineage 😂😂
 
You mean Ethiopian Airlines doesn't fly to JKIA or what's exactly your point?
Mkundu wako, hujui how airlines operate, ni kwasababu hujawahi kupanda ndege. Ndege yeyote ikitoka popote lazima itue nyumbani then inawa disperse abiria sehemu tofauti tofauti. Kwa mfano kama abiria atatumia air Tanzania (TC) from Mumbai to DRC, lazima aje Dar kwanza then ndiyo apelekwe Congo. Hujawahi kupanda ndege that's why uko layman.
 
Back
Top Bottom