Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Braza umesoma nadharia. Tunaongelea MGR ya Tanzania siyo any MGR
MGR ya Tanzania katika hali yake ya sasa haiwezi kufanya hilo kwa ufanisi, usalama, na kwa mnyororo wa operesheni wa kila siku.

Mawazo yako yapo kwenye nadharia zaidi, Je, Miundombinu ya MGR Tanzania Iko Tayari? jibu ni HAPANA

KipengeleHali halisi ya MGR Tanzania
Axle LoadNi ndogo (16–18 tons/axle), ukilinganisha na reli za uwezo mkubwa (SGR 35 t/axle)
Urefu wa vituo (loops)Passing loops nyingi ni fupi – haziwezi kupokea treni ya wagons 100
Braking SystemNi ya zamani (pneumatic) – haifanyi kazi salama kwa treni ndefu sana
Mteremko na curvesMGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro–Tabora) – inahitaji traction control ya kisasa
Haijasanifiwa kwa DPUDistributed Power Unit (injini mbele, katikati, nyuma) haipo kwenye MGR yetu – hii ni teknolojia muhimu kwa treni ndefu.

Kwa hivyo, hata kama ki teknolojia inawezekana lakini miundombinu yetu ya sasa haiiungi mkono hilo.

Ndiyo, unaweza kuongeza injini hadi nne. Lakini hilo linafanyika kwa mazingira maalum ya miundombinu iliyosanifiwa kufanya hivyo. MGR ya Tanzania kwa sasa haijajengwa wala kujiandaa kuvuta mabehewa 100 kwa usalama na ufanisi wa kiuchumi.
Si waliitandua reli na kuiweka nyingine hadi Tabora kama sijakosea na kuifanya kuwa continuous welded wakisema pia wameongeza upana wa gauge?
 
Kama hapa mnaongea nadharia tu na si uhalisia. Hebu ngoja nikuchanganulie mambo kitaalamu ili uweze kuelewa.

1. Kuhusu treni za Abiria​

Ni kweli kwamba treni za abiria zinaweza kuwa na faida, hasa kwa mifumo yenye idadi kubwa ya abiria (high ridership) kama China, India, au Japan.
Tuanzie na Japan population yake ni 128mil haina utofauti sana na Tanzania tukija kwenye suala la population , hapo biashara ya mabasi ni kama haipo kabisa.
Kinachotakiwa ni efficiency tu.
Nani alifikiria dar- Dom ingewez leta maporomoko ya abiria kwa kiwango hiki.
Kwa sasa ni nadra sana kupata ticket ya siku hiyohiyo na kutokana na watu kulala ofisini hata hawajisumbui kuongeza train nyingine.
Ukienda Moro dar kuna wasafiri kibao sana na wengi wanapanda mabasi kwa sababu ya kukosa ticket
Kwahiyo tungesema hakuna abiria kama tungekuwa tunatembeza letsay 20 kwa siku na hakuna abiria wa kujaza.
Tukija kwenye operating cost, trc wenyewe ndo wanaziongeza , hivi Japan kweli kuna wahudumu wa kuuza bites kwa Kila behewa?
Karibia Kila kitu Japan ni automatic ila leo sisi tuna madirisha karibia sita pale Dom wakati tulitakiwa tuwe na mashine za ticket tu ambazo hatulipi mshahara.
Hata ukienda kwenye waendeshaji si ajabu unakuta kwa treni 4 tu za abiria zinazofanya kazi sasa hivi kukawa na madereva 200 . Hiyo efficiency utaitolea wapi na faida itoke wapi?
Kwanini trc isiwatoe wahudumu ibaki na wakaguzi ila iweke mashine za kuuza vitu kwenye Kila steshen kama
KipengeleMaelezo
Demand ya abiriaIdadi ya wasafiri ni ndogo ukilinganisha na nchi kama China – mizigo huleta kipato kikubwa zaidi.
Operating costTreni za abiria zinahitaji huduma zaidi (vyakula, wafanyakazi, usafi, ratiba nyingi) na mara nyingi hazijitoshelezi kipesa bila ruzuku ya serikali.
China vs TanzaniaChina ina idadi ya watu 1.4B+, viwanda vingi, na urbanization kubwa – Tanzania bado ni nchi ya kati kwa kipato na idadi ya watu.
Mizigo hulipa zaidiTreni moja ya mizigo inaweza kubeba tani 1,000–7,000 kwa safari moja – ikilinganishwa na treni ya abiria yenye watu 500–1000.

2. Uwezo wa MGR Kuvuta Mizigo Mikubwa kwa Kuongeza Injini​

kiufundi inawezekana kuongeza injini zaidi ya moja kwenye MGR (“multiple locomotives”) ili kuvuta mzigo mkubwa zaidi.
KipengeleMaelezo
Axle Load ndogoMGR ya Tanzania ina axle load ya takriban 16 tons/axle tu. Hii ina maana uwezo wa kubeba mizigo mikubwa ni mdogo ukilinganisha na SGR yenye 35 tons/axle.
Urefu wa loops na sidingsStesheni nyingi za MGR zina urefu wa kupishana (loops) mdogo – haziwezi kushughulikia treni ndefu (ya wagons 100+).
Nguvu ya reli yenyeweMiundombinu ya reli (ballast, sleepers, curves, gradients) ya MGR haijabuniwa kwa treni ndefu na nzito – husababisha hatari ya derailment au uchakavu wa mapema.
Muda wa kuunganisha injiniKuendesha injini nyingi inahitaji mfumo wa mawasiliano, udhibiti wa nguvu (traction control) na injini kufanana – changamoto kwa mabehewa ya zamani ya MGR.

1. MGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro na Tabora) – treni ndefu hupata matatizo ya braking, coupling stress, na kusababisha derailment.
Kona na milima option yake ni kuongeza vichwa ili kuweza kufanya distribution ya msukumo
2. Hakuna mfumo wa kisasa wa DPU (Distributed Power Units) wa kuratibu injini mbele, katikati na nyuma kama SGR au reli za Marekani.
Tunaweza kufanya installation ya hizo dpu kama hazipo ila nachokumbuka miaka ya nyuma pale salanda treni za mizigo zilikuwa zinaweza vutwa na vichwa mpaka 4 sasa utasemaje hazina huo mfumo?

3. Treni ndefu zinahitaji braking system yenye akili – MGR ya Tanzania ina mfumo wa zamani (pneumatic brakes) ambao huchelewa kuhimili treni ndefu.
Hivyo vyote ni vitu vinaweza kufanyiwa maboresho ambayo si ya dharama kama sana .

KAMA HAUTAELEWA NA HAPA BASI MNALETA UBISHANI USIO NA MAANA

Wewe ndo unalazimisha trc ni sasa hivi tu ndo inavuta mabehewa kidogo, miaka ya 90 ilikuwa Inaweza vuta hata behewa 40 na bado ikifika salanda vikaunganishwa mpaka vichwa vinne kwa ajili ya kupandisha mlima utasemaje haiwezekaniki kuvuta kwa sababu train hazina mfumo wa mawasiliano , ebu tuambie hii video chini iliwezekanaje vikafungwa vichwa viwili bila kuwa na mfumo wa mawasiliano ?

View: https://youtu.be/qgH4Gse_mr8?si=FiUvlsJwKn2lnJwX
Ebu tusaidie kuhesabu idadi ya behewa hapo ziko chini 40?
Kama tumeweza funga mabehewa 40 kwa vichwa viwili Kumbe zamani tulipokuwa tunafunga vichwa vinne tungeweza vuta behewa 80🤣🤣🤣🤣🤣
 
1. Tanzania leads in electricity production in East Africa Community
2. Tanzania has Electric Trains
3. Tanzania has BRT
4. Tanzania's food reserves is 126%
5. Tanzania leads in tourism in East Africa
6. Tanzania leads in urbanization in East Africa
7. Tanzania has the largest reserve of pure gold in East Africa, the fifth largest in Africa.
8. Tanzania leads in cement production in East Africa

Ni mambo mengi mno nikianza kuorodhesha. Hayo ndiyo maendeleo tunayoyasema siyo kejeri zenu za kwenye mitandao To get emotional relief
9. Tanzania leads in intra East Africa trade.
10. Tanzania exports more to East Africa than what it imports
11. Tanzania has higher total exports than any other country in EA.
12. Tanzania leads in water supply in EA 89% rural 97% urban
13. Tanzania has modern bus terminals in EA
14. Tanzania leads in e-services in EA
The list is long
 
I can debunk everything you've said here with hard facts but I'll end up wasting a lot of time with a blind patriot like you. Because I don't have luxury of time like you do, I'll pick your first point- electricity.

Tanzania leading in electricity production while you lag behind in electricity access rate and connection. Even Uganda is doing better than you in this front. When we share these figures here, mnasema ni za kupikwa, mara zimetengenezwa na wazungu. I repeat here for a millionth time, you have a long way to go to even start thinking about comparing yourselves with us in anything
Umesoma mpaka level gani mpaka ushindwe kutofautisha kati ya electricity production na access?
 
View attachment 3403183

View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=Et3gkwOjOjcN8rWLmH_tJw&s=19

Angalia hapa data hiyohiyo ya 2020
 
Engine mbili mbele zikivuta na mbili nyuma zikisukuma sio? Leta ikiwa na engine moja na mabehewa 100!
Ndo tunakuambia hujui hata unachoongelea hata hiyo sgr hakuna kichwa kimoja Cha treni kinachoweza vuta behewa hata 80 zikiwa na mizigo . Nenda Dunia yoyote ukileta treni ya hivyo najitoa hapa.
Hoja ulisema hakuna mgr inayoweza beba mzigo wa zaidi ya behewa 100, hukusema idadi ya vichwa .
Kumbuka ulisema trc haina dpu umeletewa mfano wa trc ikiwa imeunganisha vichwa viwili na mzigo wa tan 2400 kwenda kigoma.
Kwahiyo sasa hivi unataka nilete proof ya vichwa vikiwa mbele na nyuma vya trc?🤣🤣🤣🤣
 
Point yangu ilikua hapo tu kwenye kuongeza injini basi.
Ila pia tukija kwa mizigo bado hatuna uhakika wa mizigo Kila siku.
Sidhani kama kutakua Kuna idadi ya mizigo unayoitaja Kila siku.
Upande wa abiria Tanzania Ina wasafiri wengi tu kama watazingatiwa.
Running cost kwenye treni za abiria ukitoa maintenance ya locomotive ni coach attendants na vyakula,sgr ni mwendokasi haihitaji vyakula vizito pia vyakula vyenyewe hivyo hivyo vinauzwa na kuongeza kipato.
Coach attendants wapunguzwe maana ni wengi ndani ya behewa Moja.
Sijaona running cost kubwa kwa sgr pax trains.
Umesema vizuri, hoja yako kuu ilikuwa kwamba MGR inaweza kuongeza injini. Tayari tumekubaliana kwamba inawezekana kinadharia, lakini utekelezaji wake una mipaka kulingana na miundombinu iliyopo (loops, braking, signaling, curvature nk).

"Hatuna uhakika wa mizigo kila siku" – Je ni kweli?

Bandari ya Dar es Salaam, Hub ya mizigo kutoka nchi 6 zisizo na bandari (DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Malawi) kuna maelfu ya kontena kila wiki.

Viwanda vya ndani na vya mikoa vinahitaji kusafirisha mizigo mingi (Mfano: Dangote – Mtwara, Mbeya Cement, makaa ya Ruvuma n.k.).

Sio kweli kwamba hatuna uhakika wa mizigo kila siku
 
Unaposema nadharia inamaana ni imaginary na haiwezi tokea,sema kuwa haiwezekani kulingana na miundombinu iliyokuwepo.

Una uhakika kaka hiyo idadi ya mizigo itakua inasafirishwa Kila siku kama usemavyo!?
Tupo hapa tusubiri.
 
Si waliitandua reli na kuiweka nyingine hadi Tabora kama sijakosea na kuifanya kuwa continuous welded wakisema pia wameongeza upana wa gauge?
Ukiongeza upana maana yake unatakiwa kununua mabehewa na vichwa cya treni vipya. Kaka imefanyiwa maboresho tu, ni hiyo hiyo MGR. Teknolojia yake imepitwa na wakati ndio maana tumekuja na SGR.

MGR itasaidia kusogeza mizigo kutoka local na kuleta kwenye SGR. Kwa mfano kwa sasa itabeba mzigo kutoka mpanda kuja Tabora kabla ya SGR haijajengwa.

Tukiongelea mizigo, kuna mizigo mingi sana. Arsuha na Manyara wataleta mizigo Dodoma. Mizigo kutoka Mbeya, Malawi, Zambia, Iringa, Njombe na Ruvuma itachukuliwa Dodoma Ihumwa.

Mizigo ya maparachichi, Chai na Kahawa kutoka nyanda za huu kusini. Zitakusanywa na magari kisha kuletwa Dodoma na kusafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Msalato Airport.

Kaka nchi yetu ipo vizuri sana.
 
Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.
Maana zipo nchi hizo MGR zao zina ufanisi mkubwa sana .
 
Unaposema nadharia inamaana ni imaginary na haiwezi tokea,sema kuwa haiwezekani kulingana na miundombinu iliyokuwepo.

Una uhakika kaka hiyo idadi ya mizigo itakua inasafirishwa Kila siku kama usemavyo!?
Tupo hapa tusubiri.
Nadharia siyo imaginary kaka. Nadharia ni kitu kilichoandikwa kweye karatasi na huenda kikafanyiwa simulation. Imaginary ni kitu ambacho kipo kwenye ndoto tu hakina uhalisia kwenye paper au kwenye real.

Nadharia inaweza kuwa implementend kulingana na mzingira.
Maana yake ni, hiyo nadharia unayoisema inaweza kufanya kazi katika mazingira fulani. Ndio maana nadharia yako ninakupa challenge kulingana na uhalisia uliopo kwenye MGR ya Tanzania.

Kwamba utekelezaji wake una mipaka kulingana na miundombinu iliyopo (loops, braking, signaling, curvature n.k.).
Sasa unatakiwa uje na solution ya ku improve nadharia yako ili ku solve challenges hizo. Uki implement tu na changamoto hizo maana yake uta fail.

Nadharia siyo Imaginary. Imaginary wanafanya WAKENYA

Ukiongeza upana maana yake unatakiwa kununua mabehewa na vichwa cya treni vipya. Kaka imefanyiwa maboresho tu, ni hiyo hiyo MGR. Teknolojia yake imepitwa na wakati ndio maana tumekuja na SGR.
Acheni kudanganyana, kilichoifanyabtrc kufa ilikuwa siasa kama za sasa za kutaka wawekezaji, wakaja wahindi rites group, Toka hapo trc haijawahi kuwa sawa mpaka leo.
Mgr bado Ina nafasi kubwa sana ikisimamiwa vizuri maana hata maboresho yaliyofanyika ni ili itembea kwa speed ya 70km/ hr ambayo bado itafaa kwa usafirishaji wa mizigo kwa haraka kuliko hata lorry.

MGR itasaidia kusogeza mizigo kutoka local na kuleta kwenye SGR. Kwa mfano kwa sasa itabeba mzigo kutoka mpanda kuja Tabora kabla ya SGR haijajengwa.
Ingekuwa ni kwa ajili ya kusogeza mizigo tu basi isingefanyiwa ukarabati kuanzia kigoma na mwanza mpaka dar es salaam .
Mfano kabla ya kufika igandu kuna kipande Cha km mbili wanakinyanyua ili kuepusha usombwaji na maji.
Ina maana bado itaendelea kufanya kazi tu .
Tukiongelea mizigo, kuna mizigo mingi sana. Arsuha na Manyara wataleta mizigo Dodoma. Mizigo kutoka Mbeya, Malawi, Zambia, Iringa, Njombe na Ruvuma itachukuliwa Dodoma Ihumwa.
Mtu wa njombe, Malawi, Zambia Wala ruvuma hawez leta mzigo Dom wakati kutakuwa na tazara itayokuwa imeboreshwa hizo ni siasa tu
Mizigo ya maparachichi, Chai na Kahawa kutoka nyanda za huu kusini. Zitakusanywa na magari kisha kuletwa Dodoma na kusafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Msalato Airport.
Acha porojo za siasa
Kaka nchi yetu ipo vizuri sana.
 
Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.
Maana zipo nchi hizo MGR zao zina ufanisi mkubwa sana .
Kaka gauge haipanuliwi tu kama barabara. MGR yetu imetengenezwa kwa kufuata Kontua za mtiririko wa mito.
MGR itabaki kuwa MGR. Katika nchi zingine huenda imefanikiwa kutokana na namna ilivyojengwa.

MGR yetu hakuna sehemu imepasua milima bali imezunguka milima. Haijasanifiwa kwa DPU (Distributed Power Unit haipo kwenye MGR yetu hii ni teknolojia muhimu kwa treni ndefu.)

MGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro -Tabora) inahitaji traction control ya kisasa

Passing loops nyingi ni fupi haziwezi kupokea treni ya wagons 100.

Ili kuboresha haya yote unahitaji uwekezaji wa pesa nyingi. Ni bora tu pesa hizo ukaziongeza kwenye SGR
 
Acheni kudanganyana, kilichoifanyabtrc kufa ilikuwa siasa kama za sasa za kutaka wawekezaji, wakaja wahindi rites group, Toka hapo trc haijawahi kuwa sawa mpaka leo.
Mgr bado Ina nafasi kubwa sana ikisimamiwa vizuri maana hata maboresho yaliyofanyika ni ili itembea kwa speed ya 70km/ hr ambayo bado itafaa kwa usafirishaji wa mizigo kwa haraka kuliko hata lorry.

Ingekuwa ni kwa ajili ya kusogeza mizigo tu basi isingefanyiwa ukarabati kuanzia kigoma na mwanza mpaka dar es salaam .
Mfano kabla ya kufika igandu kuna kipande Cha km mbili wanakinyanyua ili kuepusha usombwaji na maji.
Ina maana bado itaendelea kufanya kazi tu .

Mtu wa njombe, Malawi, Zambia Wala ruvuma hawez leta mzigo Dom wakati kutakuwa na tazara itayokuwa imeboreshwa hizo ni siasa tu

Acha porojo za siasa
Wewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi kaka. Unaandika kwa emotions
TAZARA ipo kwanini kuna malori kibao kutoka huko Mbeya, Iringa,, Njombe, Ruvuma Zambia na Malawi?

Naomba unijibu kwanza swali hili ili tuendelee kituo kwa kituo.
 
Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.
Maana zipo nchi hizo MGR zao zina ufanisi mkubwa sana .
Hakuna upana uliongezwa bali wamerekebisha sehemu korofi na kuichomelea mwanzo mwisho, pia imeongezewa tonnage capacity.
Vichwa bado vitaweza kutumia vile vya zaman, pia kuna mradi wa kufufua mabehewa na vichwa vya zamani ili viweze tumika.
Ni ufanisi tu unaotakiwa.
Ukitaka amini kuwa trc hawako serious omba kusafirisha mzigo wako kwa trc hata behewa moja tu kama mzigo wako hujaupata miezi miwili ijayo namaanisha kwenda kigoma au mwanza.
Wengi tunapofushwa na uendeshaji wa sgr sasa hivi kwa kuhisi kuna itakuwa hivyo
Kama trc kigoma tu kupata ticket ya kusafirisha mpaka ukalale stend au ukanunue kwa madalali itakuwaje kwenye mizigo ya maskini au mtu wa behewa moja? Trc anasafirisha Azam tu , kina dangote wanaona ni mizinguo tu ni sasa hivi tu sgr bado mpya Kila kiongozi anaitolea macho
 
Back
Top Bottom