Si juzi nyayo FKF walisema ni 17-20k Capacity
View attachment 3404475
View: https://www.facebook.com/share/v/1CLAwCVEn1/
Out of ten words take one songa.
Si juzi nyayo FKF walisema ni 17-20k Capacity
View attachment 3404475
View: https://www.facebook.com/share/v/1CLAwCVEn1/
MGR pound ya reli imeongezwa sasa inabeba uzito sawa na SGR ya Kenya.Kaka nimekupatia maelezo kuhusu MGR ya Tanzania naona ume ya ignore ili kufurahisha nafsi yako.
1. MGR ya Tanzania imejengwa kushikilia mzigo mdogo (16–18 tons/axle)
2. Vituo vingi vya MGR Tanzania havina uwezo wa kupokea au kupisha treni zenye urefu wa mabehewa 100 – ni hatari na huchelewesha operesheni.
3. MGR ina kona nyingi na milima (hasa kati ya Morogoro na Tabora) – treni ndefu hupata matatizo ya braking, coupling stress, na kusababisha derailment.
4. Hakuna mfumo wa kisasa wa DPU (Distributed Power Units) wa kuratibu injini mbele, katikati na nyuma kama SGR au reli za Marekani.
5. Treni ndefu zinahitaji braking system yenye akili – MGR ya Tanzania ina mfumo wa zamani (pneumatic brakes) ambao huchelewa kuhimili treni ndefu.
Ki-teknolojia inawezekana, miundombinu yetu ya sasa haiiungi mkono hilo
Naomba uje na utatuzi wa changamoto hizo tano na cost zake.
Mwenzako Gachagua yuko marekani anaimba harambee wantam😎😎😁😂Kuna watu wanaumia wakiona mambo mazuri Kenya, How mad do you have to be.. na bado, kitawaramba😅😅😅
View attachment 3405011
Uhuru wangu wa kutoa maoni nao inaujadili?? Wewe ndiye akili umezificha kwenye makalioKuna watu wanaumia wakiona mambo mazuri Kenya, How mad do you have to be.. na bado, kitawaramba😅😅😅
View attachment 3405011
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1944523840542876156?t=fUzjGk6__ysTr-SfR546Dw&s=19
Wakenya hawawezi kuelewa haya mambo wanadhani strong currency ni kigezo cha uchumi mzuri
Waithopia pia walifanya hivyo,japana,korea vietnam, Indonesia mifano nk
Imefika mahala sasa uzipumzishe hizi picha bwana mdogo.What then will we say of this?View attachment 3404191View attachment 3404194
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1944523840542876156?t=fUzjGk6__ysTr-SfR546Dw&s=19
Wakenya hawawezi kuelewa haya mambo wanadhani strong currency ni kigezo cha uchumi mzuri
Waithopia pia walifanya hivyo,japana,korea vietnam, Indonesia mifano nk
Ficheni hii juakali renovation asione. The best 007 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DMDNTzhu3CI/?igsh=MTczd2l6Z2lkMHJ1Zg==
Ficheni hii juakali renovation asione. The best 007 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DMDNTzhu3CI/?igsh=MTczd2l6Z2lkMHJ1Zg==