Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shule kwenu ngumu🤣🤣😞😞, hapo umewekewa sample tu ya bajeti ya wizara mbili tu ambazo development expenditure ni more than 90% ya total bajeti wizara ambayo Ina recurrent expenditure ya above 50% ni hiyo wizara ya fedha ambapo 14trilion ni kwa ajili ya kulipa madeni tu huku dev ikifanywa na wizara nyingine.
Haya twende Kenya recurrent expenditure ni 73% ya total budget,
Ukija kwenye allocation kwa Kila wizara mko nyuma sana fikiria kama ministry of sports tu mnaikadiria iwe na 18bil ksh sawa na tsh 360bil huku Tanzania estimated allocation ni 519bil sawa na ksh 25bil
Bado tukija kwenye wizara ya usafirishaji Kuna 2.6trilion almost 130bil ksh , hakuna wizara yoyote ya Kenya itatengewa kiasi chote hicho maana nchi lazima ifirisike tu na hapo ni baada ya kufanya marekebisho kwenye finance bill , kumbuka Tanzania tunapunguza mzigo wa Kodi kuanzia mwaka 2025/2026 ila nyinyi mnazidi kuongeza
Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.

1749302875433.jpg
 
Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.

View attachment 3359487
the end of the day sisi ndii tunajenga zaidi yenu, mipango sio matumizi. 🤣🤣🤣
 
Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.

View attachment 3359487
Hivi unajua ministries of transport n works r different in Tanzania? That Ksh 130 bln is only for ministry of transport! Its pretty obvious our budget is bigger than urs when the two ministries i.e. Works n Transport r combined! FYI railway, ports n aircraft procurement is under ministry of Transport while roads, bridges, sea vessels n airports under ministry of works!
 
Unatupigia kelele ju your ministry of transport was allocated ksh 130 billion. Eti hakuna wizara yeyote itatengewa kiasi chote hicho. 🤣🤣🤣 Enyewe LDC ni LDC tu.

View attachment 3359487
2024/2025 tuko kwenye estimates za 2025/2026,
Anyway data zako Zina uwalakini leta estimates za mwaka huu

The total road budget for the Ministry of Roads and Transport in Kenya for the 2024/25 financial year was increased to Sh171.9 billion, a 29.1% increase from the previous year's Sh133.2 billion. This includes allocations for road construction, maintenance, and rehabilitation, with specific amounts listed for road safety, construction, maintenance, and rehabilitation.

Detailed Breakdown:

Road Safety: Ksh 4.2 billion

Construction of Roads and Bridges: Ksh 86.2 billion

Maintenance of Roads: Ksh 37.7 billion

Rehabilitation of Roads: Ksh 69.5 billion
Ukisema tuweke na barabara hapa
chrome_screenshot_Jun 7, 2025 5_12_45 PM GMT+03_00.png

Pia jua hapo kwenu ministry of roads and transport ni wizara Moja kwetu hapo ni wizara mbili na zote zimebeba mzigo wa maana
 
View attachment 3359553
Pia jua hapo kwenu ministry of roads and transport ni wizara Moja kwetu hapo ni wizara mbili na zote zimebeba mzigo wa maana
Too much yap but at the fact remains Kenya's budget is more than all countries in East Africa combined. Sasa sijui hata unajaribu kubishana nini.
 
Kenya’s Budget for 2025/2026 Expected revenue: USD 28.15 billion - Expected spending: USD 33.02 billion, Deficit: USD 4.87 Billion 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣​

Back
Top Bottom