Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wizara ya Uchukuzi Tanzania Budget ni: TSH trilioni 2.746 sawa na USD 1.06 billion
Wizara ya Ujenzi Bajeti yake ni: TSH 2.28 trilioni sawa na $856.37 million USD

Tatal ni USD 1.916 billion
Also we should tell him about the ministry of Lands, Housing n Human settlement as the fool is trying to integrate the affordable housing in Kenya in the ministry of works!
 
Umekuwa mpole sasa umeanza cyber bullying and online harassment. Njoo na facts kijana.
Kenya's development expenditure for the fiscal year 2024/2025 is estimated at Ksh 643.9 billion (approximately USD 4.94 billion). This figure represents 3.3% of the country's GDP.

Breakdown and Context:
  • Total Budget:
    Kenya's total budget for FY 2024/2025 is Ksh 3.992 trillion (approximately USD 30 billion).

 
Bado wizara ya Kilimo wanajenga Miundombinu ya Umwagiliaji na Hifadhi za Chakula
Wizara ya Mifugo na Uvuvi wanajenga miundombinu
Wizara ya Maji wanajenga miundombinu
TAMISEMI wanajenga Masoko na Stend za mabasi.

Ukiwawekea hapa wakenya watachanganyikiwa. Then wataanza kutukana na kutoa maneno yasiyofaa kwenye mjadala.
 
Yaani hii nchi tungejenga barabara ya Dar Tunduma kuwa njia nne kama wanavyofanya south. Hawa wangeenjoy sana na maroli yao.

Hiyo Barabara Iko busy sana. Nadhani kwa Tanzania hakuna Barabara yenye gari nyingi za mizigo kama hiyo. Pale Mbeya Hadi Tunduma naona kuna mpango wa kujenga njia nne kwa PPP.. ..sijajua wamefika wapi..

Ila hata Tazara wakiifanyia ukarabati mzuri na kuweka mabehewa ya kutosha itasaidia sana kupunguza foleni hiyo njia... Kama Sasa hivi kuna mzigo wa Copper mwingi sana kutoka Zambia na DRC... Ngoja tuone kama DP atatoa figure kamili ya mzigo wanao handle pale Port tuna weza kuwa double hao kenge wa North.
 
Back
Top Bottom