Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mzee umepima hadi kivuli ya hii jengo. 🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mzee umepima hadi kivuli ya hii jengo. 🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Unatuwekea mpaka parking lot!
When our currency dropped to Ksh 168 against the dollar and our GDP dropped to $104 billion hamkutupita. Sahii pesa yenu ya madafu inaendelea kuporomoka hadi mumeban the use of foreign currency lakini bado inaendelea kuanguka. Kwenu kuna chomeka lakini umekazana kuweka mapua pasipokuhusu.Once mtakapo malizana na IMF kuhusu kudivalyuet your overrated karensi hizi nyange zote zitaisha.
unawazimu wa kichwa ww unanifundisha mm, mashamba mengi arable land nyingi zinamilikiwa na wazungu mpaka leo, mpaka biashara ya maua iko chini ya wazungu alaf leo unataka kuongea nnIcho maybe you might wanna go back to hibernation again …. 80% of tea farming in Kenya is by small scale farmers. Even a well managed 10 acres can mint you millions . Now you know
Alafu pia hawakusema ni shillingi imefanya uchumi ukadrop, walisema uchumi umedrop na wakashangilia jinsi wanavyokaribia kutupiku. 🤣 🤣When our currency dropped to Ksh 168 against the dollar and our GDP dropped to $104 billion hamkutupita. Sahii pesa yenu ya madafu inaendelea kuporomoka hadi mumeban the use of foreign currency lakini bado inaendelea kuanguka. Kwenu kuna chomeka lakini umekazana kuweka mapua pasipokuhusu.
Pathetic excuse, ni wapi umeona parking lot inside the yellow marked area?Unatuwekea mpaka parking lot!
Basic need inawashinda mtaongea nini nyie watu wenye njaa? KwikwikwikwikwikwiAlafu pia hawakusema ni shillingi imefanya uchumi ukadrop, walisema uchumi umedrop na wakashangilia jinsi wanavyokaribia kutupiku. 🤣 🤣
Unafikiri ukiandika kwa herufi kubwa ndio Lissu ataachiwa?😂FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
Kweli East Africa’s logistic hub pale Ubungo haina Mpinzani!Pathetic excuse, ni wapi umeona parking lot inside the yellow marked area?
Mkiwa nao nani atathubutu kusema? Hapo si atapotezwa asubuhi na mapema. HeheheeeHatujawahi shindwa kuwa uhaba wa dawa mpaka kuwa janga la kitaifa
Tanzania MSD imepewa kazi ya kuhifadhi na kusambaza dawa SADC wewe kundudweller upo kibera hujaosha mk4ndu unapiga kelele.Mkiwa nao nani atathubutu kusema? Hapo si atapotezwa asubuhi na mapema. Heheheee
Inapataje upinzani wakati washindani wetu wanaenda ongeza import duty na excise duty mpaka 35% ya total duties kabla ya vat ni 70% plus vat 18( proposed) . Total duties plus vat itakuwa ni above 88% ya cif.Kweli East Africa’s logistic hub pale Ubungo haina Mpinzani!
Wewe unadhani Tanzania ni nchi ya kipumbavu kama Kenya?Mkiwa nao nani atathubutu kusema? Hapo si atapotezwa asubuhi na mapema. Heheheee
Kwani nani anashindwa kusema , hivyo vitu havikwepeki lazima uhaba utaonekana na watu watasema usikaririshweMkiwa nao nani atathubutu kusema? Hapo si atapotezwa asubuhi na mapema. Heheheee
Eti supplier aishiwe dawaWewe unadhani Tanzania ni nchi ya kipumbavu kama Kenya?
View attachment 3359442
These countries are Angola, Botswana, Comoros, Democratic Republic of the Congo, Eswatini, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, United Republic of Tanzania, Zambia, and Zimbabwe.