Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe vitu zinaendelea concurrently hii nchi ni nyingi, 3 fuel Tankers docked in Mombasa oil Jetty,
1 carrying Rwanda- bound fuel
1 carrying Uganda - bound fuel
1 Carrying Kenyan Fuel

View: https://x.com/citizentvkenya/status/2105015002138660916?s=46View attachment 3680688View attachment 3680689View attachment 3680690

Ungepost na hizi.
1790747247921.jpeg

1790747295606.jpeg
 
Akili yako inakuambia dunia nzima refinery zimejengwa na dangote pekee yake,hamna mwingine anayeweza kujenga refinery,we kweli kilaza
Yaani refinery inapigiwa kelele kweli. Wakati hata Tanzania tunajenga ya kwetu. Ukiona kelele hivyo ukue kuna kitu kinafichwa hakiko sawa.
 
Yaani refinery inapigiwa kelele kweli. Wakati hata Tanzania tunajenga ya kwetu. Ukiona kelele hivyo ukue kuna kitu kinafichwa hakiko sawa.
EACOP ile ndio inayowaumiza,walitaka waingie kwa mgongo refinery ya dangote,ukitaka kujua wameumia angalia upande wa serikali ya TZ baada ya kufunga mjadala wa refinery ya dangote awajaongea tena,wao sasa na dangote kila siku tanga aiwakauki mdomoni
 
Except you push your luck too far with your bullsh*t…🤣🤣🤣just recently you stole a photo and claimed it was you at the Boma inn Nairobi, yet when I challenged you to post the receipt or the menu with that day’s date , As usual ukahepa .. gotcha!!!🤷🏾‍♂️😆😆
Sku sio nyingi unakua chokoraa? mm nmepost nmeenda Boma inn?????????? unajua ata niko wap saaahv 🤣 🤣 🤣 au umaskini unakusumbua
 
I like the way you people dart between dismissing this project as a white elephant and crying over losing it to Kenya.😂😂
Kwamba TZ ilikua inashindana kupata huu mradi .? 😂😂😂😂 unajitafutia battle unasema mpinzani wangu atakua fulani halafu unajitangaza umeshinda. 😂😂😂😂
 
EACOP ile ndio inayowaumiza,walitaka waingie kwa mgongo refinery ya dangote,ukitaka kujua wameumia angalia upande wa serikali ya TZ baada ya kufunga mjadala wa refinery ya dangote awajaongea tena,wao sasa na dangote kila siku tanga aiwakauki mdomoni
1790754505940.png

Kelele zote hizo ni kuhusu EACOP. Just imagin project ya billions of money inakimbizwa haraka haraka kama uuzaji wa nyanya. Refinery project need a lot of process.

Walinusa wakaona kuna Refinery inajengwa Tanga. Sasa wamekuja na kelele ili waonekane wao ndio walikuwa na wazo. We don't Care.

Hiyo dawa yao ni kama paracentamol inatuliza maumivu lakini ugonjwa bado upo pale pale.
 
Back
Top Bottom