Do you really know what breaking even is?Kweli hata ku-breakeven kwenye ununuzi hata hayo mabehewa yenyewe
pitieni comments .. 😁 😁 😁
Why Does Propaganda Thrive More Than Truth in Tanzania?
View: https://www.reddit.com/r/tanzania/comments/1ikro8m/why_does_propaganda_thrive_more_than_truth_in/
Hii leta video yako kwani ni ya laana? Umekuwa ukiitisha video in every comment. Hata wewe pia leta video😂😂Leta video
iwe kweli sasa sio siasa za uchaguzi
Photos can be taken anywhere and compiledHii leta video yako kwani ni ya laana? Umekuwa ukiitisha video in every comment. Hata wewe pia leta video😂😂
Hiyo ni kampuni binafsi inafanya biashara.iwe kweli sasa sio siasa za uchaguzi
Hata wewe chukua tu zako alafu ufanye compilation.Photos can be taken anywhere and compiled
Icho maybe you might wanna go back to hibernation again …. 80% of tea farming in Kenya is by small scale farmers. Even a well managed 10 acres can mint you millions . Now you knowalaf ajabu mashamba yote ni mali ya wazungu mpaka leo ndio kitu yakushangaza dunia hii😂😂😂
Reserve ya chakula Tanzania ni 136% tupatie ya Kenya tucheke KwikwikwikwikwikwiKwani mnajilisha 100%? Si juzi tu hapa USA gavu you a food donation?
Ufanisi ni muda pia na nimekueleza ni nn kinapaswa kufanyika kama unataka kuchukua mzigo wa Mombasa! Ferries at least tano na pia ujenzi wa reli kwenda Uganda kwa kupitia Mtukula kutoka Isaka na Musoma kutokea Tanga pory! Huo ndio ukweli!Sitambi hapa.
Natoa mtazamo wangu tu.
Maana logistics zina mambo mengi, ikiwemo ufanisi wa bamdari, gharama za usafiri etc.
Hata sasa Bandari ya Dar ni cheap, lakini kuna wabongo bado wanapitisha mizigo Mombasa.
Hivyo, hapo itategemea ufanisi (possibly DP World watakuwa serious), TPA wataboresha Fela Dry Port, Mwanza na SGR itakamilika kikamilifu.
Kenya food reserve ni 10% kwikwikwikwikwikwi. Kila siku wakenya wanakufa kwa njaaDo you really know what breaking even is?
How can you break even in buying?
Pambaneni kwanza na njaa. KwikwikwikwikwiHata wewe chukua tu zako alafu ufanye compilation.
HIzi ramani zako sijui za wapi.Ufanisi ni muda pia na nimekueleza ni nn kinapaswa kufanyika kama unataka kuchukua mzigo wa Mombasa! Ferries at least tano na pia ujenzi wa reli kwenda Uganda kwa kupitia Mtukula kutoka Isaka na Musoma kutokea Tanga pory! Huo ndio ukweli!
Kule Mombasa kachukia Rostam huku Tanga yupo Asas! Huku Hoima GOT ina around 15% stake! Mafalamanga wanaendeleza kelele!
Still better than a watchman.Content creator nawe Una pesa? Si umeanza juzi tu?
Huyo mwanzisha mada sasa, Kila siku yeye ni Tanzania tu ni mkenya aliyekwiva🤣🤣🤣🤣. Watanzania hawanaga tabia za chuki ila ukimletea dharau sasaKenyans walioshiba Githeri.
What was he trying to say?
Nimesoma nikafikiri nitaona hizo propaganda, zero
ndio nasema iwe kweli sasa sio siasa za uchaguzi kesho utaskia wamewekea vikwazo kibaoHiyo ni kampuni binafsi inafanya biashara.
Weka picha ya drone kutoka Juu tucbeke kidogoRoad infrastructure yenye iko Kisumu Tanzanian cities can only dream of.
Naona omba omba wa Tanzania walitolewa mbio wakaacha wheelchair😂😂😂
View attachment 3359307