Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

photoshopped huwezi ona 2 peaks!

BD451478-4793-4821-B1E4-1622F38CDEA5_w650_r0_s.png
Ni wewe uko Kenya au ni sisi? Na ni nani alisema huwezi kuona both peaks from Konza yet hata ukiwa Nairobi bado zinaonekana?
 
Kariakoo has more construction than the whole of Nairobi. Ukibisha you are narsissitic (yaani narcissistic). 🤣 🤣 🤣
Utapata hiyo word anamispell ameskia kwa mara ya kwanza leo asubuhi😂😂😂.

Alafu hakuna any meaningful construction going on in Tanzania, Westlands alone boast of more construction activitues than entire Tanzania.
 
Quack what don’t you understand by Official Store? Kiti wanajaribu kukuambia ni kwamba there is no store owned by Xiomi in Tanzania. Zenye mko nazo ni za brokers tu.
Ona huyu fala!
Maduka ya Oppo na Xiaomi yanamilikiwa na hizo kampuni tajwa hapo juu humu Tanzania.
Na hata ukienda kuyatembelea utawakuta watendaji wakuu ni wachina ila sipo hapa kubishana.
 
Back
Top Bottom