Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,