Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utofauti unaonekana hata kwenye mapato yanayotokana na counties ( osr)
Ambayo administration yake ni kama mikoa kwa Tanzania.
Kati counties 47 ,17 ndo zinauwezo wa kukusanya zaid ya ksh 1bil sawa na 20bil tzs huku county 30 makusanyo yake ni chini ya 1 bil , huku the lowest tana river ikiwa na makusanyo ya 92mil sawa na tzs 1.92bil tzs
Yaan county nzima ya tana river Iko katika kundi Moja na bubigwe DC ambayo ndo halmashauri au wilaya yenye makusanyo kidogo nchi nzima.
Inavyoonesha hawa wako busy kupiga porojo badala ya KAZI

Revenue Collection per County in Kenya​

Financial Year 2023/2024​

During the reporting period, County governments generated a total of KES 58.95 billion from their own source revenue (OSR), which was 72.8 per cent of the annual target of KES 80.94 billion.

The realized OSR is an improvement compared to KES 37.81 billion generated in financial year 2022/23.

CountyRevenue TargetActual RevenuePercentage (%)
Baringo450,097,396378,201,63584
Bomet332,041,830238,930,42072
Bungoma2,010,419,7361,120,909,34955.8
Busia649,015,633369,203,97556.9
Elgeyo Marakwet271,306,633258,505,13895.3
Embu750,000,000746,494,07499.5
Garissa230,000,000248,969,049108.2
Homa Bay1,392,206,3521,200,495,83186.2
Isiolo356,208,180285,197,34480.1
Kajiado1,868,466,9851,048,356,43556.1
Kakamega2,200,000,0001,347,833,27961.3
Kericho1,066,426,600841,927,97878.9
Kiambu6,995,366,2354,575,831,60765.4
Kilifi1,788,634,2221,208,619,99767.6
Kirinyaga550,000,000651,105,565118.4
Kisii1,843,892,1981,180,162,03764
Kisumu2,282,844,6941,443,607,98863.2
Kitui585,000,000517,049,81688.4
Kwale600,000,000427,377,92871.2
Laikipia1,445,000,0001,061,020,09873.4
Lamu180,000,000209,102,758116.2
Machakos3,332,286,0601,549,348,47746.5
Makueni1,240,000,0001,044,674,94884.2
Mandera330,533,846168,047,28750.8
Marsabit190,000,000145,092,55076.4
Meru1,050,000,000961,934,27991.6
Migori625,474,299512,566,31081.9
Mombasa7,377,933,2275,585,024,01075.7
Murang'a1,115,000,0001,116,795,730100.2
Nairobi City19,689,630,27812,542,094,41863.7
Nakuru4,100,000,0003,321,300,47981
Nandi558,329,869630,727,156113
Narok4,979,073,6644,753,670,48695.5
Nyamira687,000,000369,796,34353.8
Nyandarua1,225,000,000515,740,77242.1
Nyeri1,326,000,0001,407,546,107106.1
Samburu256,027,400266,583,924104.1
Siaya760,000,000610,737,74580.4
Taita Taveta628,667,445461,186,65273.4
Tana River96,630,60092,568,52095.8
Tharaka Nithi450,670,000417,346,03592.6
Trans Nzoia643,700,000476,638,17274
Turkana220,000,000530,645,056241.2
Uasin Gishu1,578,147,6141,421,327,95190.1
Vihiga248,083,481338,057,178136.3
Wajir150,000,000164,953,671110
West Pokot230,000,000185,294,70180.6
Total80,935,114,47758,948,601,25772.8
Mapato ya regions kwa Tanania hayahusishi taxes what municipals and councils collect ni tozo tuu mostly za busiess licence and other services.
 
Inawamaga hii. 🤣🤣🤣 hadi picha za kisutu wanasema ni posta. 🤣🤣 na hiyo kisutu enyewe it’s even better than this.
Nilikuwa Nairobi juzi kati hapa. Nami nikisema nifanye kama NairobiWalker miende downtown yao Nipige picha mitaa mibovu. Mbona watakimbia huku.
Nairobi ya sasa ni Kijiji Fulani hiv.
Kuna ile bus terminal yao ukitokea cabanas ni aibu, machokoraa kila Kona, mikojo na vinyesi. Basi tu ninawasitiri tu hapa
 
Pale wawekewe target tu.hii ya sasa hivi forgery nyingi sana , mtu anajaza tu ajuavyo.
Ile inatakiwa letsay afisa mapato wilaya target makusanyo letsay bil 12. Basi wasimamie hapohapo ila hii ya sasa hivi ya pepmis hasa kwa watu kama takukuru SI tutafunga watu wengi kwa kesi za kibambikiziana.
hao watumishi wa serikali kwenye halmashauri wanatakiwa wote wawe under performance contract sio kusubiri mshahara tuu mwisho wa mwezi.
 
Nilikuwa Nairobi juzi kati hapa. Nami nikisema nifanye kama NairobiWalker miende downtown yao Nipige picha mitaa mibovu. Mbona watakimbia huku.
Nairobi ya sasa ni Kijiji Fulani hiv.
Kuna ile bus terminal yao ukitokea cabanas ni aibu, machokoraa kila Kona, mikojo na vinyesi. Basi tu ninawasitiri tu hapa
Kwa hivo Kisutu ni mtaa mbovu wa Dar? Wacha mchezo kijana. Huu mji weny, nimeonyesha sehemu za CBD na Kariokoo sijaingia Uswazi alafu unasema nimefocus kwa mitaa mibovu? Kuna sehemu nyingi mbovu Dar zenye sikushughulika nazo hata kidogo. Wewe kwa video yako ya Nairobi CBD Mwanzo ulionyesha downtown areas ambazo hata sio part of CBD Sasa nashangaa ninkusitiri Gani unaongelea.
 
Mzee umekuja siku mbili Dar ushasema Dar doesn't have more people than Nairobi?
I advise you to comeback and explore dar. If you want to see population BRT bus ichelewe hata 15minutes pale gerezani au fire uone nyomi lake, panda treni za mwakyembe, za TAZARA, Daladala zile kubwa tata, ferry nk

There is no city in Eastern Africa that has population like Dar. Tukiendelea kubisha hapa nitakuacha na ujinga wako.

The issue is. Infrastructures za dar zimesaidia kuserve population ya Dar. Lakin pia It was a nice move kushift capital Dodoma.

Hio point yako ya CBD sio kitu cha kujivunia. Ni kuwa Nairobi imefail kwenye accomodation ya Nairobians vs infrastructure. Mlijenga mji wenu kwa sifa sio kwa needs. Na Bado mnazidi kufanya makosa kwa stadiums, na everything kuwa Nairobi.

Hadi hivyo mnavyoita sijui Districts viko within 5km from CBD yenu. Upper hill, Westlands, Eastlands, Kilimani, nk
Kwa hiyo huo mji wenu umebana sana. Ndo maana mbona uko busy.
Dar ina zones zake ambazo ziko busy example kariakoo, tandika, mbagala, mbezi Luis, kimara, nk.


Basi tu watz sio mouthy. Lakini Dar ina bypasses na Barabara nyingi kuliko Nairobi. So no need to pass through City center.
Kuna siku niliona maoni yao kuhusu Uwanja aa Arusha wanasema, mbona unajengwa porini.

Kwa mentality zao za aina hiyo, ndio maana wanaweka kila kitu Nairobi.

Na hata wajenge flyover na expressway 100 Nairobi, jam haitaisha.

Ndio maana siku hizi mpaka juu ya flyover kuna Jam.
 
Tovuti za bunge kumbe zipo X sikuhizi.? 🤣🤣🤣 mbona wewe ni kilaza sana.?
Nani kataja X kijana wa Tandale? Mbona unaweweseka? Is it not true your parliament deleted MPs' information from Parliament Portal?
 
You are always creating your own happiness
Na sisi tunawaignore tu.

Nimeangalia video yako ya YouTube, Kuna comments mbili tu na zote wanakukataa kuwa sio CBD. Lakin ubishi ubishi na sura yako inaonyesha ni mbishi na arrogant.

Mitaa uliyopost hapa ni kata ya kisutu. Na Mimi ninavyojua kata ya kisutu ni maarufu kwa kuwa makazi ya wahindi na unajua wahindi wanavyoishi. Wanaishi juu na floor za chini ni shops. Kutoka hapo hadi posta Kuna kama 1km. Wew na demu wako mlitembea mkachoka hamkufika Posta.

History ya ilo eneo toka zamani lilikuwa la wahindi ambao wamesambaa mpaka upanga, posta ilikuwa ofisi na wajerumani na Kariakoo ilikuwa ya watu weusi.


Next time ukirudi Dar, kwa YouTube yako. Cover these streets ukianza na Azikiwe na Maktaba hata kama ziko under construction. Then zunguka posta yote hadi ocean. Ndo utumie title yako ya Dar es Salaam CBD
Huku zamani lilikuwa Kunajaa vipanya na vihiace na Daladala kama Nairobi. Lakin sasa ni BRT bus tu zitaingia Dar CBD. Something you have failed terrible in Nairobi.
Tuktuks za kivukoni ni suala la muda nazo zitaondolewa

Enjoy Azikiwe na Maktaba streets



View attachment 3350213View attachment 3350215View attachment 3350218View attachment 3350222View attachment 3350226
Wewe Wacha kudanganya watu peupe. Kwamba kutoka hapa mahali picha imepigwa hadi kule TPA ni kilometer moja?🤣🤣 Unatuona sisi mafala?
Untitled_1.1.1.jpg

Alafu wadau angalieni hizo sehemu nime circle in red (you can zoom in). Manguo kwenye balcony na hapo ni city center kabisa! TPA yao pendwa ndio ile palee inaonekana vizuri sana so it's clearly CBD. Yani this level of disorganization you can't find in Nairobi cbd hata utembee hadi wapi. A glorified fishing village kabisa this one is
Dofoto_20250530_082207364.jpg
 
Back
Top Bottom