Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata ujaribu vipi ukweli utabaki pale pale, polešŸ˜Ž
Of course ukweli utabaki pale kwamba at 2.5 square kilometers, it is the biggest slum in Nairobi. Way smaller than your sprawling slums that cover your entire cityscape
 
CBD ya Dar ni Kama Eastleigh Iko na buildings mzee. Chini ni wauza Dera na kahawa, juu ni nyumba za kuishi, Barabara ni tuktuk na mikokoteni.
You are always creating your own happiness
Na sisi tunawaignore tu.

Nimeangalia video yako ya YouTube, Kuna comments mbili tu na zote wanakukataa kuwa sio CBD. Lakin ubishi ubishi na sura yako inaonyesha ni mbishi na arrogant.

Mitaa uliyopost hapa ni kata ya kisutu. Na Mimi ninavyojua kata ya kisutu ni maarufu kwa kuwa makazi ya wahindi na unajua wahindi wanavyoishi. Wanaishi juu na floor za chini ni shops. Kutoka hapo hadi posta Kuna kama 1km. Wew na demu wako mlitembea mkachoka hamkufika Posta.

History ya ilo eneo toka zamani lilikuwa la wahindi ambao wamesambaa mpaka upanga, posta ilikuwa ofisi na wajerumani na Kariakoo ilikuwa ya watu weusi.

Next time ukirudi Dar, kwa YouTube yako. Cover these streets ukianza na Azikiwe na Maktaba hata kama ziko under construction. Then zunguka posta yote hadi ocean. Ndo utumie title yako ya Dar es Salaam CBD
Huku zamani lilikuwa Kunajaa vipanya na vihiace na Daladala kama Nairobi. Lakin sasa ni BRT bus tu zitaingia Dar CBD. Something you have failed terrible in Nairobi.
Tuktuks za kivukoni ni suala la muda nazo zitaondolewa

Enjoy Azikiwe na Maktaba streets

PXL_20250525_060821406.NIGHT.jpg
PXL_20250525_055307627.NIGHT.jpg
PXL_20250525_055100417.NIGHT.jpg
PXL_20250525_060123828.NIGHT.jpg
PXL_20250525_060004504.NIGHT.jpg
 
You are always creating your own happiness
Na sisi tunawaignore tu.

Nimeangalia video yako ya YouTube, Kuna comments mbili tu na zote wanakukataa kuwa sio CBD. Lakin ubishi ubishi na sura yako inaonyesha ni mbishi na arrogant.

Mitaa uliyopost hapa ni kata ya kisutu. Na Mimi ninavyojua kata ya kisutu ni maarufu kwa kuwa makazi ya wahindi na unajua wahindi wanavyoishi. Wanaishi juu na floor za chini ni shops. Kutoka hapo hadi posta Kuna kama 1km. Wew na demu wako mlitembea mkachoka hamkufika Posta.

History ya ilo eneo toka zamani lilikuwa la wahindi ambao wamesambaa mpaka upanga, posta ilikuwa ofisi na wajerumani na Kariakoo ilikuwa ya watu weusi.

Next time ukirudi Dar, kwa YouTube yako. Cover these streets ukianza na Azikiwe na Maktaba hata kama ziko under construction. Then zunguka posta yote hadi ocean. Ndo utumie title yako ya Dar es Salaam CBD
Huku zamani lilikuwa Kunajaa vipanya na vihiace na Daladala kama Nairobi. Lakin sasa ni BRT bus tu zitaingia Dar CBD. Something you have failed terrible in Nairobi.
Tuktuks za kivukoni ni suala la muda nazo zitaondolewa

Enjoy Azikiwe na Maktaba streets

View attachment 3350213View attachment 3350215View attachment 3350218View attachment 3350222View attachment 3350226
Instanbul, sikatai hayo maeneo uliyotaja ni part of CBD ila pia haya maeneo ninayoongelea ni part of your CBD. Nakumbuka nilikuuliza unichoree boundary ya CBD ya Dar kwa map ukaingia mitini. Nyinyi mnapopost Kibera humu Kila siku huwa hamjui pia Muthaiga ni part of Nairobi? Hiyo Kisutu yote ni part of your CBD Sasa mbona mnaikataa hiyo mnakwamilia Azikiwe street?
 
Itag hiyo video
 
1. Dar doesn't have more people than Nairobi. You can say there are more people within Dar City boundary but the total urban area of Nairobi has more people than Dar.
2. Nairobi is more densely populated than Dar.
3. The mist important one, Nairobi CBD is at the center of the city. People moving from one end of Nairobi to the other will most likely pass through the CBD. Dar CBD is on the edge. It's easier to avoid it when moving from one side of the city to the other.
4. Nairobi is generally a busier city than Dar.

If you have at least 3 brain cells you'll understand.
Mzee umekuja siku mbili Dar ushasema Dar doesn't have more people than Nairobi?
I advise you to comeback and explore dar. If you want to see population BRT bus ichelewe hata 15minutes pale gerezani au fire uone nyomi lake, panda treni za mwakyembe, za TAZARA, Daladala zile kubwa tata, ferry nk

There is no city in Eastern Africa that has population like Dar. Tukiendelea kubisha hapa nitakuacha na ujinga wako.

The issue is. Infrastructures za dar zimesaidia kuserve population ya Dar. Lakin pia It was a nice move kushift capital Dodoma.

Hio point yako ya CBD sio kitu cha kujivunia. Ni kuwa Nairobi imefail kwenye accomodation ya Nairobians vs infrastructure. Mlijenga mji wenu kwa sifa sio kwa needs. Na Bado mnazidi kufanya makosa kwa stadiums, na everything kuwa Nairobi.

Hadi hivyo mnavyoita sijui Districts viko within 5km from CBD yenu. Upper hill, Westlands, Eastlands, Kilimani, nk
Kwa hiyo huo mji wenu umebana sana. Ndo maana mbona uko busy.
Dar ina zones zake ambazo ziko busy example kariakoo, tandika, mbagala, mbezi Luis, kimara, nk.

Basi tu watz sio mouthy. Lakini Dar ina bypasses na Barabara nyingi kuliko Nairobi. So no need to pass through City center.
 
Instanbul, sikatai hayo maeneo uliyotaja ni part of CBD ila pia haya maeneo ninayoongelea ni part of your CBD. Nakumbuka nilikuuliza unichoree boundary ya CBD ya Dar kwa map ukaingia mitini. Nyinyi mnapopost Kibera humu Kila siku huwa hamjui pia Muthaiga ni part of Nairobi? Hiyo Kisutu yote ni part of your CBD Sasa mbona mnaikataa hiyo mnakwamilia Azikiwe street?
CBD. Central Business District. Kama kisutu ni part ya CBD. Basi kamkunji, gikomba, bama, jogoo road, kote huko hadi Nairobi city stadium ni CBD.
Na Mimi nikisema nije Nairobi nipick mitaa ya vumbi na matope na nipost hapa. Mbona mtalog out. Japo I don't support that street within kisutu kuwa untarmarked ( ni uzembe tu. Ilala district inaongoza kwa mapato Tz)

Dar es Salaam City center and Nairobi City center are very different. Hio unayoita Central business, Mimi sijawahi nunua kitu Chochote kisutu. Yaan bora mtu ungesema Kariakoo and it's true Kariakoo is a business district.

Diversity ndo uleta beauty of the place. Nyinyi Kenyans mnataka mkija Dar mkute moi avenue, muindimbingu, mama ngina street.
NI AINA FULANI YA USHAMBA
Forgetting that Dar is not even the capital city anymore. Hio posta was vibrant 2000s, clubs, office, ministries na biashara nyingi zilikuwa huko. Nowdays nothing interesting in posta. Just why everyday tunashauri hapa walifanye tu touristic kwa kuongeza bustani, restaurant, recreations, hotels, etc.

Na isingekuwepo Kivukoni fish market na watu kwenda kigamboni, watu wachache sana wangeeenda hiyo posta yenyew.
 
Mzee umekuja siku mbili Dar ushasema Dar doesn't have more people than Nairobi?
I advise you to comeback and explore dar. If you want to see population BRT bus ichelewe hata 15minutes pale gerezani au fire uone nyomi lake, panda treni za mwakyembe, za TAZARA, Daladala zile kubwa tata, ferry nk

There is no city in Eastern Africa that has population like Dar. Tukiendelea kubisha hapa nitakuacha na ujinga wako.

The issue is. Infrastructures za dar zimesaidia kuserve population ya Dar. Lakin pia It was a nice move kushift capital Dodoma.

Hio point yako ya CBD sio kitu cha kujivunia. Ni kuwa Nairobi imefail kwenye accomodation ya Nairobians vs infrastructure. Mlijenga mji wenu kwa sifa sio kwa needs. Na Bado mnazidi kufanya makosa kwa stadiums, na everything kuwa Nairobi.

Hadi hivyo mnavyoita sijui Districts viko within 5km from CBD yenu. Upper hill, Westlands, Eastlands, Kilimani, nk
Kwa hiyo huo mji wenu umebana sana. Ndo maana mbona uko busy.
Dar ina zones zake ambazo ziko busy example kariakoo, tandika, mbagala, mbezi Luis, kimara, nk.

Basi tu watz sio mouthy. Lakini Dar ina bypasses na Barabara nyingi kuliko Nairobi. So no need to pass through City center.
Kwa hivo wewe umekaa Nairobi miaka mingapi ndio useme Dar Ina watu wengi kuliko Nairobi?
Statement yangu haiko based kwa ziara yangu ya Dar. Iko based on statistics ambayo nimekuwa nikiwaambia Kila siku humu. Population ya Nairobi metro built up area ni kama hivi as per 2019 census.
1. Nairobi County - 4,828,000
2. Ruiru - 490,120
3. Kikuyu - 328,881
4. Thika - 251,407
5. Mavoko - 258, 498
6. Karuri - 194,342
7. Juja - 156,041
8. Kitengela - 154,643
9. Kiambu - 155,896
10. Kiserian - 76,903
11. Ngong - 279,757

Total = 7,174,488
Population growth rate of Kenya = 2%
2025 estimate P =p(1.02)^6
= 7,174,488 x 1.126
= 8,079,838
Sasa niambie kama Dar metro imepita hapo?
Halafu kwa zile video zako niliona pia ulitembea hiyo CBD, Westlands, Upperhill na Kilimani alafu hizo ndio ulitumia kusema Nairobi Kila kitu Kiko place Moja. Hivi umefika Syokimau ukaona ni km ngapi from CBD? Umefika Kenyatta university? Umefika Kitengela?

Alafu uache unafiki. Ukiona watu wengi Nairobi unasema poor planning, ukiona wengi Dar, unasema big city. Hivo ndivo ulivyosema kwa video yako pia.
 
CBD. Central Business District. Kama kisutu ni part ya CBD. Basi kamkunji, gikomba, bama, jogoo road, kote huko hadi Nairobi city stadium ni CBD.
Na Mimi nikisema nije Nairobi nipick mitaa ya vumbi na matope na nipost hapa. Mbona mtalog out. Japo I don't support that street within kisutu kuwa untarmarked ( ni uzembe tu. Ilala district inaongoza kwa mapato Tz)

Dar es Salaam City center and Nairobi City center are very different. Hio unayoita Central business, Mimi sijawahi nunua kitu Chochote kisutu. Yaan bora mtu ungesema Kariakoo and it's true Kariakoo is a business district.

Diversity ndo uleta beauty of the place. Nyinyi Kenyans mnataka mkija Dar mkute moi avenue, muindimbingu, mama ngina street.
NI AINA FULANI YA USHAMBA
Forgetting that Dar is not even the capital city anymore. Hio posta was vibrant 2000s, clubs, office, ministries na biashara nyingi zilikuwa huko. Nowdays nothing interesting in posta. Just why everyday tunashauri hapa walifanye tu touristic kwa kuongeza bustani, restaurant, recreations, hotels, etc.

Na isingekuwepo Kivukoni fish market na watu kwenda kigamboni, watu wachache sana wangeeenda hiyo posta yenyew.
Nakumbuka vizuri nilikuambia unichoree ramani ya boundary ya CBD yenu ukaingia mitini. Shida yenu mkitaka kuonesha jinsi CBD yenu ni kubwa mnaongeza Hadi hiyo kisutu, mkionyeshwa kisutu ilivyo mnaikana. Mbona kabla nipige hizo picha mlikuwa mnaichora hiyo Kisutu kabisa kama CBD mkichekelea jinsi CBD ya Nairobi ilivyo ndogo? Alafu who are we fooling? Shida mnataka mchaguechague visehemu vidogo vidogo vilivyo na afueni eti ndio CBD na zile mbovu mnataka mfiche alafu Nairobi mnataka kuonyesha zile za ovyo kabisa as the representative of Nairobi.

PS
Hiyo River Road/Kamukunji area mwenzake hapo Dar ni Kariakoo na hata tumekuwa na hiyo ligi humu for sometime. Gikomba and City Stadium are not even anywhere close to be considered part of the CBD - ni kama kusema keko ama magomeni ni CBD. Our main CBD ni area between Moi Avenue, Harry Thuku Road, Uhuru Highway na Haile Selassie. Kumekuwa na mipango ya kujenga an extension of the CBD in the name of Railway City for sometime now but hizo ni story za wanasiasa for now unless tuzione zikifanyika. Upper Hill, Westlands are new commercial areas while River Road is a business area and so is Eastleigh. Gikomba is just a poorly maintained open air market that has seen several buildings being put up.
 
Kwa hivo wewe umekaa Nairobi miaka mingapi ndio useme Dar Ina watu wengi kuliko Nairobi?
Statement yangu haiko based kwa ziara yangu ya Dar. Iko based on statistics ambayo nimekuwa nikiwaambia Kila siku humu. Population ya Nairobi metro built up area ni kama hivi as per 2019 census.
1. Nairobi County - 4,828,000
2. Ruiru - 490,120
3. Kikuyu - 328,881
4. Thika - 251,407
5. Mavoko - 258, 498
6. Karuri - 194,342
7. Juja - 156,041
8. Kitengela - 154,643
9. Kiambu - 155,896
10. Kiserian - 76,903
11. Ngong - 279,757

Total = 7,174,488
Population growth rate of Kenya = 2%
2025 estimate P =p(1.02)^6
= 7,174,488 x 1.126
= 8,079,838
Sasa niambie kama Dar metro imepita hapo?
Halafu kwa zile video zako niliona pia ulitembea hiyo CBD, Westlands, Upperhill na Kilimani alafu hizo ndio ulitumia kusema Nairobi Kila kitu Kiko place Moja. Hivi umefika Syokimau ukaona ni km ngapi from CBD? Umefika Kenyatta university? Umefika Kitengela?
Kwanza acha kulazimisha , hapa tunazungumzia mji kama administrative area sio kama unavyojaribu kulazimisha tuweke na kiambu. Kwa mfano tukitafuta records zozote zinazohusiana na revenue, sensa hakuna kitu kinaitwa Nairobi metropolitan bali Kuna Nairobi county ambayo unasimama yenyewe.
Labda kama utatuambia governor wa Nairobi metropolitan ni nan au county executive director wa Nairobi metropolitan ?
Hakuna financial statements za Nairobi metropolitan bali zipo za Nairobi county hapa dunadili na administrative area inayotambulika sio ambazo ni za kufikiria.
Labda tuanzie hapa tuletee document Kama hii ikielekeza mapato au population ya metropolitan states za Kenya either za mapato au population.
Hakuna capital city inaitwa Nairobi metropolitan ila ipo inayojulikana kama Nairobi
chrome_screenshot_May 30, 2025 2_50_44 AM GMT+03_00.png

Nairobi's 2025 population is now estimated at 5,766,990. In 1950, the population of Nairobi was 137,456. Nairobi has grown by 225,820 in the last year, which represents a 4.08% annual change.These population estimates and projections come from the latest revision of the UN World Urbanization Prospects. These estimates represent the Urban agglomeration of Nairobi, which typically includes Nairobi's population in addition to adjacent suburban areas.
 
Kwa hivo wewe umekaa Nairobi miaka mingapi ndio useme Dar Ina watu wengi kuliko Nairobi?
Statement yangu haiko based kwa ziara yangu ya Dar. Iko based on statistics ambayo nimekuwa nikiwaambia Kila siku humu. Population ya Nairobi metro built up area ni kama hivi as per 2019 census.
1. Nairobi County - 4,828,000
2. Ruiru - 490,120
3. Kikuyu - 328,881
4. Thika - 251,407
5. Mavoko - 258, 498
6. Karuri - 194,342
7. Juja - 156,041
8. Kitengela - 154,643
9. Kiambu - 155,896
10. Kiserian - 76,903
11. Ngong - 279,757

Total = 7,174,488
Population growth rate of Kenya = 2%
2025 estimate P =p(1.02)^6
= 7,174,488 x 1.126
= 8,079,838
Sasa niambie kama Dar metro imepita hapo?
Halafu kwa zile video zako niliona pia ulitembea hiyo CBD, Westlands, Upperhill na Kilimani alafu hizo ndio ulitumia kusema Nairobi Kila kitu Kiko place Moja. Hivi umefika Syokimau ukaona ni km ngapi from CBD? Umefika Kenyatta university? Umefika Kitengela?

Alafu uache unafiki. Ukiona watu wengi Nairobi unasema poor planning, ukiona wengi Dar, unasema big city. Hivo ndivo ulivyosema kwa video yako pia.
Hizi ndo administrative cities in Kenya , ruiru, kikuyu, kiambu hizo zote ni constituency ambazo ziko chini ya kiambu wewe unazilamisha zisomeke Nairobi 🤣🤣🤣🤣Kenya Cities Database | Simplemaps.com
 
Nakumbuka vizuri nilikuambia unichoree ramani ya boundary ya CBD yenu ukaingia mitini. Shida yenu mkitaka kuonesha jinsi CBD yenu ni kubwa mnaongeza Hadi hiyo kisutu, mkionyeshwa kisutu ilivyo mnaikana. Mbona kabla nipige hizo picha mlikuwa mnaichora hiyo Kisutu kabisa kama CBD mkichekelea jinsi CBD ya Nairobi ilivyo ndogo? Alafu who are we fooling? Shida mnataka mchaguechague visehemu vidogo vidogo vilivyo na afueni eti ndio CBD na zile mbovu mnataka mfiche alafu Nairobi mnataka kuonyesha zile za ovyo kabisa as the representative of Nairobi.

PS
Hiyo River Road/Kamukunji area mwenzake hapo Dar ni Kariakoo na hata tumekuwa na hiyo ligi humu for sometime. Gikomba and City Stadium are not even anywhere close to be considered part of the CBD - ni kama kusema keko ama magomeni ni CBD. Our main CBD ni area between Moi Avenue, Harry Thuku Road, Uhuru Highway na Haile Selassie. Kumekuwa na mipango ya kujenga an extension of the CBD in the name of Railway City for sometime now but hizo ni story za wanasiasa for now unless tuzione zikifanyika. Upper Hill, Westlands are new commercial areas while River Road is a business area and so is Eastleigh. Gikomba is just a poorly maintained open air market that has seen several buildings being put up.
Hizi ndo constituency za Nairobi . Iko na constituency 17 , tuambie ruiru Iko kwenye constituency gani ya Nairobi.
Nairobi City is administratively divided into nine sub-counties and 17 constituencies, each with 5 wards. The constituencies are: Westlands, Dagoretti North, Dagoretti South, Langata, Kibra, Roysambu, Kasarani, Ruaraka, Embakasi North, Embakasi South, Embakasi Central, Embakasi East, Embakasi West, Makadara, Kamukunji, Starehe, and Mathare. These constituencies are further subdivided into wards, which have locally elected leaders forming part of the County Assembly.
 
Kwa hivo wewe umekaa Nairobi miaka mingapi ndio useme Dar Ina watu wengi kuliko Nairobi?
Statement yangu haiko based kwa ziara yangu ya Dar. Iko based on statistics ambayo nimekuwa nikiwaambia Kila siku humu. Population ya Nairobi metro built up area ni kama hivi as per 2019 census.
1. Nairobi County - 4,828,000
2. Ruiru - 490,120
3. Kikuyu - 328,881
4. Thika - 251,407
5. Mavoko - 258, 498
6. Karuri - 194,342
7. Juja - 156,041
8. Kitengela - 154,643
9. Kiambu - 155,896
10. Kiserian - 76,903
11. Ngong - 279,757

Total = 7,174,488
Population growth rate of Kenya = 2%
2025 estimate P =p(1.02)^6
= 7,174,488 x 1.126
= 8,079,838
Sasa niambie kama Dar metro imepita hapo?
Halafu kwa zile video zako niliona pia ulitembea hiyo CBD, Westlands, Upperhill na Kilimani alafu hizo ndio ulitumia kusema Nairobi Kila kitu Kiko place Moja. Hivi umefika Syokimau ukaona ni km ngapi from CBD? Umefika Kenyatta university? Umefika Kitengela?

Alafu uache unafiki. Ukiona watu wengi Nairobi unasema poor planning, ukiona wengi Dar, unasema big city. Hivo ndivo ulivyosema kwa video yako pia.
Nairobi County and Nairobi Metropolitan City (NMS) represent different administrative structures. Nairobi County is a unit of the Kenyan county government system, while Nairobi Metropolitan City is a more encompassing area that includes Nairobi County and the surrounding counties in the greater Nairobi area.

Nairobi County:

  • Definition:
    Nairobi County is a political and administrative unit under the County Government Act, responsible for providing services to residents within its boundaries.

  • Governance:
    It has its own elected government, including a governor, deputy governor, and county assembly.

  • Functions:
    Nairobi County provides a range of services, including land management, property management, business licensing, health services, and social services.

  • Area:
    The county's area is 703.9 square kilometers (271.8 sq mi).
Nairobi Metropolitan City (NMS):
  • Definition:
    The Nairobi Metropolitan City is a broader geographical region encompassing the capital city (Nairobi County) and surrounding counties.

  • Governance:
    The NMS is managed by the Nairobi Metropolitan Services (NMS), which was established to oversee four core functions transferred from the Nairobi City County Government to the National Government.

  • Functions:
    The NMS is responsible for overseeing functions like roads, public transport, public health, and environmental management within the metropolitan area.

  • Area:
    The metropolitan area includes counties like Kiambu, Machakos, and Kajiado, in addition to Nairobi County.
 
You are always creating your own happiness
Na sisi tunawaignore tu.

Nimeangalia video yako ya YouTube, Kuna comments mbili tu na zote wanakukataa kuwa sio CBD. Lakin ubishi ubishi na sura yako inaonyesha ni mbishi na arrogant.

Mitaa uliyopost hapa ni kata ya kisutu. Na Mimi ninavyojua kata ya kisutu ni maarufu kwa kuwa makazi ya wahindi na unajua wahindi wanavyoishi. Wanaishi juu na floor za chini ni shops. Kutoka hapo hadi posta Kuna kama 1km. Wew na demu wako mlitembea mkachoka hamkufika Posta.

History ya ilo eneo toka zamani lilikuwa la wahindi ambao wamesambaa mpaka upanga, posta ilikuwa ofisi na wajerumani na Kariakoo ilikuwa ya watu weusi.

Next time ukirudi Dar, kwa YouTube yako. Cover these streets ukianza na Azikiwe na Maktaba hata kama ziko under construction. Then zunguka posta yote hadi ocean. Ndo utumie title yako ya Dar es Salaam CBD
Huku zamani lilikuwa Kunajaa vipanya na vihiace na Daladala kama Nairobi. Lakin sasa ni BRT bus tu zitaingia Dar CBD. Something you have failed terrible in Nairobi.
Tuktuks za kivukoni ni suala la muda nazo zitaondolewa

Enjoy Azikiwe na Maktaba streets

View attachment 3350213View attachment 3350215View attachment 3350218View attachment 3350222View attachment 3350226
Mkuu naomba tag YouTube yake huyo fala nina salamu zake. Nataka nipitie kidogo. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom