GEPG itabaki kuwa mfumo bora Africa.
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1927953048359329831?s=46
Ndio maana huwa nashangaa Wakenya wanaposema wako juu kiteknolojia.
Ukicheki teknolojia yenyewe ni makampuni ya Marekani yenye matawi Kenya.
Na hiyo teknolojia yenyewe haiwasaidii.
View: https://x.com/thee_alfa_house/status/1897577565696467337/video/1