- Kama unanunua mnyama unatembeza unapaswa kulipa kibali cha movement
- Ushuru wa machinjio
FIRE
- Wanataka fees ya ukaguzi na ununue fire equipments
TBS
- Wanataka usajili wa premises kwa 50,000 -100,000 kwa mwaka.
- Bodi ya nyama wanataka fees kwa mwaka
Hapa, kila taasisi inakuja kwa wakati wake, bila kujali jana kuna taasisi nyingine ilipita kwako.
Bado baba lao TRA.
Biashara haitaweza kukua hata siku moja. Na possibility ya kufa kama huho mtu analipa kila kitu ni rahisi sana.
Huwezi kula pesa za POS lazima zipote kwenye MFUMO.
Huduma nzuri zinatokana na uwekezaji.
Huduma afya za serikali hazisaidii Vituo kununua vifaa bora vingi, mpaka vipelekwe na serikali kuu.
Na pia huko private, watu wanaenda kulipa ila wakikosa pesa ndio wanaenda serikalini.
Hilo ni sawa.
Na kwakuwa Wizara ya afya ndio msimamizi, wanaweza kuboresha.
Ingawa Benjamin Mkapa inasimamiwa na Mkapa Foundation.
Shida siyo kuziendesha.
Shida ni HUDUMA za bure.
Hata ukimpa mtu mwingine, bila mapato hawezi kufanya maajabu.