Unaweza kutuletea total revenue collection ya wajir for a year ( own source (osr)) hazifikii hata nusu ya province ya Tanzania inayokusanya kiasi kidogo kuliko zote?
Wajir sqm 55,000 km collection 164,000,000 ksh =1,271,000. Usd
Rukwa sqm 27,000
Collection 10bil tzs = 3,770,000 usd
Kenya Kuna uneven distribution of wealth kati ya county 47 ni county 17 tu ndo zenye uwezo wa kukusanya zaid ya 1bil per year
While in Tanzania bara kati ya mikoa 25 ni mikoa mitano tu haiwezi fikia 1bil ksh
A list of top 10 counties in revenue collection in Kenya.
blog.afro.co.ke
Imagine county nzima inakusanya ksh 92mil na imepitiwa na mto mkubwa kuliko mito Kenya na Ina ukubwa zaid ya mkoa kilimanjaro au mtwara
Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Unaweza kutuletea total revenue collection ya wajir for a year ( own source (osr)) hazifikii hata nusu ya province ya Tanzania inayokusanya kiasi kidogo kuliko zote?
Wajir sqm 55,000 km collection 164,000,000 ksh =1,271,000. Usd
Rukwa sqm 27,000
Collection 10bil tzs = 3,770,000 usd
Kenya Kuna uneven distribution of wealth kati ya county 47 ni county 17 tu ndo zenye uwezo wa kukusanya zaid ya 1bil per year
While in Tanzania bara kati ya mikoa 25 ni mikoa mitano tu haiwezi fikia 1bil ksh
A list of top 10 counties in revenue collection in Kenya.
blog.afro.co.ke
Imagine county nzima inakusanya ksh 92mil na imepitiwa na mto mkubwa kuliko mito Kenya na Ina ukubwa zaid ya mkoa kilimanjaro au mtwara
Jibu kama msomi, Wacha kujibu kishabiki just to soothe yourself with skewed reasoning, numbers never lie, kelele mtawacha, ukweli umebainika wazi wazi🤣🤣
Yaani unajaribu kujiliwaza with a skewed analysis or reasoning? Fanya comparison analysis moja baada ya nyingine, Kisha leta GDP per Capita ya kila eneo ukilinganisha ndio utaelewa mbona omba omba wenu, wauza kahawa na mandazi, wauza mitumba, boda boda riders, vinyozi na wajakazi wa nyumbani wengi wanatokea Tanzania na nchi zingine East Africa, including Ethiopia kuja kuzurura vijijini ni mijini Kenya kutafuta riziki, na ujiulize ni kwa nini hawaendi kwenu ama nchi nyingine EAC kwa wingi kufanya kazi za chini kama mnavyo kuja Kenya., this fact can be used as a scientific tool, and can be included as an indicator to measure strength of a GDP..,
GDP per Capita uliyo post mwenyewe ina onyesha wazi mlivyo mafukara wa kutupwa on average,
Tazama GDP Per Capita ya Dar es Salaam is approximately $2,300(Tsh 5,743,367) with population ya 6 million na hapa Kenya county ya kumi kwa ranking by GDP per Capita ni Embu is $3,662 population of 609,000!..,
yaani na Kiambu ni matajiri zaidi ya Dar mara tatu Kiambu county GDP Per Capita $6,955(Tsh. 18,000,000 plus), Nairobi pia is Tshs 18,000,000 na zaidi)., population 5 million plus..,
Just look at ranking ya GDP per Capita top 10 vs hiyo yenu..,
Tanzania.,
Kenya
Ukitaka kuelewa nguvu ya uchumi ya eneo, tazama GDP per Capita, utaelewa level ya ufukara na utajiri wenu kilaza.., sio tu revenue collection.., wanyonge 🤣🤣
Yaani Dar es Salaam ikija Kenya top 10 haifiki🤣🤣🤣, Mombasa imeizidi Dar kwa mbali huwa nawaambia humu., Dar ni CBD moja tu.., na port🤣🤣🤣