Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Unakurupuka kujibu bila kuelewa nilicho andika kwanza, yaani nia yako ni kutetea fikra zako sio kuchunguza ukweli na uhalisia uko wapi., vilaza wa south🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo kumbe unajua population ina affect GDP?
Sasa lamu yenye population ya watu 143,000 itashindwaje kuizidi mtwara yenye population ya watu 2mil?
Hivi unajua mapato tu ya mkoa wa mtwara kwa kuuza korosho na ufuta kwa mwaka 2024 bila kuweka resources nyingine zozote ndo total gross county product ya lamu baada ya kukusanya mapato yote ya county nzima😂😂😂😂.
Makusanyo ya counties ndo reflection ya uzalishaji wenu maana yanahusiana na uzalishaji wenu. Huwez kuwa na makusanyo kidogo kwenye county halafu ukawa na uzalishaji mkubwa
🤣🤣🤣🤣
Rudi shule
GDP, which stands for Gross Domestic Product, is the total monetary value of all finished goods and services produced within a country's borders in a specific period, typically a year. It's a key indicator of a country's economic health and standard of living.
Here's a more detailed breakdown:
- What it measures:
GDP measures the total output of an economy, encompassing both goods (like cars, food, and clothing) and services (like healthcare, education, and transportation).
- How it's calculated:
GDP is calculated by summing the value of all final goods and services produced within a country's borders during a specific period.- Significance:
GDP provides a snapshot of a country's economic performance, helping to assess its size, growth, and overall health.- What's included:
GDP includes both market-based production (like sales of goods and services) and some non-market production, such as government services (like defense).- What's not included:
GDP excludes activities like unpaid work (like housework), illegal activities, and the sale of used goods.- GDP vs. GNP:
While GDP measures output within a country's borders, Gross National Product (GNP) measures output produced by a country's residents, regardless of location.
Unajua unachokiandika kweli🤣🤣🤣., fafanua unamaanisha nini by saying; 'population ina affect GDP?'., ungesema GDP per Capita, that was the point of discussion maskini., ila population sio issue ni uwezo wa GDP in relation to population ndio factor muhimu. South Africa iko na population kidogo kushinda Nigeria na Egypt but kwa sasa iko na a bigger GDP, plus per Capita which is obvious. Kenya iko na population ndogo ukilinganisha na Tanzania with a bigger GDP., so how does population affect GDP kulingana na hizi fikra zako?..., nielimishe nielewe fikra zako na mimi🤣🤣🤣🤣., yaani unakimbilia google to copy paste stuff na hauna uelewa mwafaka ama wa kimsingi about the issue being discussed., wewe tu bora umesoma definition ya GDP ., GNP, pia soma na HDI., Kisha linganisha Kenya na Tanzania, kwa vile lengo la ubishi wenu ni eti Tanzania ionekane imeizidi Kenya, ila wapi🤣🤣🤣🤣.,