Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aeleze nini? Hii unatuonyesha is just a small part of downtown Nairobi. The biggest and busiest commercial hub in East Africa. Hapo kunauzwa kila kitu na hakuna residential area kama Kariakoo.
Mkumbushe pia kwamba hiyo ndio mitaa za wale ndugu zao ombaomba. They are found on virtually every street in downtown Nairobi 🤣🤣🤣
 

Banangeeee 🤣🤣🤣🤣
Eti Ugandans left!😂😂 They don't want problems with kenyans 😆😆😆

I saw another clip of Nigerians wondering if Tanzanians really know the problem they are putting themselves into. The fear we Kenyans have instilled in social media is unmatched!
 
Banangeeee 🤣🤣🤣🤣
Eti Ugandans left!😂😂 They don't want problems with kenyans 😆😆😆

I saw another clip of Nigerians wondering if Tanzanians really know the problem they are putting themselves into. They fear we Kenyans have instilled in social media is unmatched!
Kwikwikwikwi wakenya mnahangaika sana. Njaa inawamaliza.
 
Shida ya Wakenya mnafikiri CBD ya Nairobi ni sawa na Dar es Salaam.

Hivi huwa hamjiulizi kwanini Dar ina watu wengi kuliko Nairobi, lakini ukifika Dar unahisi kama hakuna watu??


Licha Dar kuwa na watu wengi zaidi ya Nairobi, lakini huwezi kukuta watu wamerundikana hivi kama Omena, eti manita CBD.


View: https://youtu.be/CNSAQWN6Lyw?si=_2neYCKvG1EvCIsF

Danganya wale hawajafika kule ama wasiojua kuhusu Dar. sisi tuliofika huko tunajua vizuri. Ingawa sio lazima kufika ndio tuoate habari, this is 2025😅😅😅
Daresaalam watu wamejaa mpaka kwenye barabara watu, bajaji, mwendokasi,pikipiki,mkokoteni wtc wanangangania barabara moja 😅

IMG_5371.jpeg
 
Ukiishi kwenye nchi ya watu wenye njaa kali lazima ujifiche.
lakini nikuulize mbona mkubaliwe mtawaliwe na wabunge wenye ni primary and high school drop out?ushwai kaa chini na mtu mwenye elimu ya kiwango cha chini ukasikia venye hufikiria na mwenye elimu ya juu ukaona tofauti? wacha tutoe tu siasa apa? nipe jibu mwafaka..
 
Back
Top Bottom