Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Leta picha ya Dodoma tutaelewana, hii sio level yako..,Paper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?
Leta picha ya Dodoma tutaelewana, hii sio level yako..,Paper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?
Let me tell you something. I am more educated than you fool. Unaweza Leta shughuli mnafanya kwa hizo counties.? Au ni figures tu kama kawaida yenu vilaza nation.?Leta picha ya Dodoma tutaelewana, hii sio level yako..,
Unajidai wewe msomi sivyo?.., sasa dhibitisha ni uongo, chukua tu Mombasa as your random sample, kama unaelewa neno per Capita ni nini., Pato ya port na Airport authority ni ngapi?.., then revenue., utalii, piga hesabu against population?.., mfano tu.., ama fanya utafiti ya Kiambu ujue shughuli ziko kule Kisha uje upinge with evidence., unabisha na hauna uelewa wowote., ni ushabiki tu.. idiot.Let me tell you something. I am more educated than you fool. Unaweza Leta shughuli mnafanya kwa hizo counties.? Au ni figures tu kama kawaida yenu vilaza nation.?
Kwanini usilete hizo shughuli wewe hapa na mapato yake.? Ili uumbuke humu.? Ili Kesho uache kuongea ongea uongo.?Unajidai wewe msomi sivyo?.., sasa dhibitisha ni uongo, chukua tu Mombasa as your random sample, kama unaelewa neno per Capita ni nini., Pato ya port na Airport authority ni ngapi?.., then revenue., utalii, piga hesabu against population?.., mfano tu.., ama fanya utafiti ya Kiambu ujue shughuli ziko kule Kisha uje uoinge with evidence., unabisha na hauna uelewa wowote., ni ushabiki tu.. idiot.
Kunyaland wapo million 70 hukoView attachment 3350087
Betting is our biggest problem, Kenya Nchi ina watu million 50, watu million 45 wanabet, this is Sad.
Wewe ndio unabisha., mimi si mpumbavu na mshabiki kama ulivyo., wewe ni umbue kama kweli uko na uhakika? I repeat stick to posting pictures kilaza🤣., Yaani eti unataka shughuli 🤣🤣., do u know Seychelles Iko na GDP per Capita zaidi ya Tanzania na shughuli zao za kiuchumi ni kidogo sana? though siwezi kutumia hiyo in comparison between Kenya na Tz kwa vile ata shughuli za kiuchumi tumewazidi, what of HDI?., unaelewa hilo kweli? a good indicator ya uhalisia, bado tumewazidi.., niondolee ushabiki wako humu.,Kwanini usilete hizo shughuli wewe hapa na mapato yake.? Ili uumbuke humu.? Ili Kesho uache kuongea ongea uongo.?
Kajileta 🤣😂😂😂Paper tiger. Tukiomba kuona shughuli mnafanya kwa hizo counties so that you can have those figures utatuonyesha.?
Shida ya Wakenya mnafikiri CBD ya Nairobi ni sawa na Dar es Salaam.
Hivi huwa hamjiulizi kwanini Dar ina watu wengi kuliko Nairobi, lakini ukifika Dar unahisi kama hakuna watu??
Licha Dar kuwa na watu wengi zaidi ya Nairobi, lakini huwezi kukuta watu wamerundikana hivi kama Omena, eti manita CBD.
View: https://youtu.be/CNSAQWN6Lyw?si=_2neYCKvG1EvCIsF
Babu jinga katika ubora wakoDispute what I said usiporoke…😆😆
Kwahiyo kumbe unajua population ina affect GDP?Wewe ndio unabisha., mimi si mpumbavu na mshabiki kama ulivyo., wewe ni umbue kama kweli uko na uhakika? I repeat stick to posting pictures kilaza🤣., Yaani eti unataka shughuli 🤣🤣., do u know Seychelles Iko na GDP per Capita zaidi ya Tanzania na shughuli zao za kiuchumi ni kidogo sana? though siwezi kutumia hiyo in comparison between Kenya na Tz kwa vile ata shughuli za kiuchumi tumewazidi, what of HDI?., unaelewa hilo kweli? a good indicator ya uhalisia, bado tumewazidi.., niondolee ushabiki wako humu.,
Oky ngoja basi niwaonyeshe watu kama wewe ni mpumbavu mmoja. According to Kenya berue of statistics.. kiambu county’s GDP 2024 reported to be 760 billion Ks.Wewe ndio unabisha., mimi si mpumbavu na mshabiki kama ulivyo., wewe ni umbue kama kweli uko na uhakika? I repeat stick to posting pictures kilaza🤣., Yaani eti unataka shughuli 🤣🤣., do u know Seychelles Iko na GDP per Capita zaidi ya Tanzania na shughuli zao za kiuchumi ni kidogo sana? though siwezi kutumia hiyo in comparison between Kenya na Tz kwa vile ata shughuli za kiuchumi tumewazidi, what of HDI?., unaelewa hilo kweli? a good indicator ya uhalisia, bado tumewazidi.., niondolee ushabiki wako humu.,
Siyo highway zote ni freeway/expressway.If it was designed well,
Izo zebra crossings zimetapaka ni za kazi gani ndani ya highway?
Ingekuwa na a smooth traffic from mwanzo Hadi mwisho ndio ungekuja kubrag hapa.
That's a poor cheap highway.
Hiyo barabara siyo freeway (ndiyo maana ina traffic lights) ila inaweza kubadilishwa baadae kwa kuwekwa overpass.Kwa hivo hizo ramps ni bora kuliko za Thika Road na Nairobi Expressway?
Nani alikudanganya highway lazima ziwe na taa?The only thing this Kibaka Road inashindia Thika Road, Expressway, Outering, Southern bypass, Northern Bypass and Eastern Bypass are the number of bumps and zebra crossings. Barabara enyewe hata haina lights.
Huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣🤣Kama tabora tu. 🤣🤣🤣View attachment 3349982
Inawamaga hii. 🤣🤣🤣 hadi picha za kisutu wanasema ni posta. 🤣🤣 na hiyo kisutu enyewe it’s even better than this.Huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3350373
Ukitanua picha kdg tu unakutana na kigoma 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3350375
Ndio maana nilikuambia post pictures hausikii., hii inaitwa pedestrian reasoning. Unajiona msomi eti? Yaani uko na uelewa ya mambo ya uchumi sivyo?🤣🤣 If u can explain to me how these differences and changes come about nitakukubali, la sivyo stick to pictures.Oky ngoja basi niwaonyeshe watu kama wewe ni mpumbavu mmoja. According to Kenya berue of statistics.. kiambu county’s GDP 2024 reported to be 760 billion Ks. View attachment 3350336Ambayo ni around 5 billion usd 👇🏾View attachment 3350339hesabu ya gdp capital. Formula inasema ni gdp per capita = gdp/total population. And here’s Kiambu county’s population (2019 report) 👇🏾View attachment 3350340hebu tuone majibu basi. 👇🏾View attachment 3350341kwahiyo hapa watu watapata kuona. GDP per capita Kiambu county ni $2,433.
Sasa je wewe hii umeitoa wapi.? 👇🏾View attachment 3350343 JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watu waone vile wewe ni mpumbavu
Mbona ukimbilie kuzunguka Nigeria mara maelezo kibao. 🤣🤣🤣🤣 zuzu kweli hili. Tueleze figure ulizoleta umetoa wapi.?Ndio maana nilikuambia post pictures hausikii., hii inaitwa pedestrian reasoning. Unajiona msomi eti? Yaani uko na uelewa ya mambo ya uchumi sivyo?🤣🤣 If u can explain to me how these differences and changes come about nitakukubali, la sivyo stick to pictures.
Haya tuende; Nigeria's GDP is known to be around $500B., in 2025 it's projected to be $188B.., discuss the change or the difference?
2025 estimates according to IMF analysis
View attachment 3350372
View attachment 3350374
Haya turudi Kenya., let me give you data ya 2023 vile nimepata, with simple explanation uelewe.,
View attachment 3350376
View attachment 3350378
View attachment 3350379
View attachment 3350381
View attachment 3350382
View attachment 3350383
View attachment 3350384
Kisha fungua hii pdf, take a cup of coffee usome pole pole, utapata somo, imewekwa kila kitu wazi hadi uchi wetu.., nothing to hide.,
GROSS COUNT PRODUCT 2024 KNBS data (pdf)👇👇
Sasa linganisha na Tanzania kwa vile pia bureau of statistics wameweka wazi data ya kila eneo Tanzania, lengo la ubishi wako ni kutafuta ushindani na kuonyesha eti Tanzania imeizidi Kenya., that's all you are always after., kazi kwako "msomi"..,