Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi munaibiwa hadi maji. 🤣 🤣 🤣 🤣

Kweli wewe ni bafoon 😆🤣🤣 yani umekuja na comeback hii.? Aisee upo serious kweli.?
 
Unajua illegal mining in bongoslum is worse than in Kenya. Nyinyi ni bongolala na wavivu ndio maana hata maji munaibiwa. 🤣 🤣 🤣
 
Eeh umenigeuzia kibao tena.? 🤣🤣🤣 hapa bongo kuna illigal mining inafanywa na mtu mweupe.? Foreigner.? 🤣🤣 hadi kiama hiyo haiwezi tokea. Kenyans are bafoons acording to Chinese people. Ndio mana wachina wanachimba madini in your country without you knowing.
 
Yaani hiyo ndio comeback! 😂😂😂
Vita ya saba saba BM 21 anakuja na fimbo!
Jamaa ni mjinga sana. Sasa kuiba maji ili mtu akamwagilie shamba lake ambalo kimsingi lipo hapahapa Tz, analinganisha ni vitu sensitive kama mtu kuchimba madini ndani ya nchi yao bila wao kujua na kuyatorosha china. 🤣🤣🤣 taifa lao ni la vichaa haswaaa.
 
Kinachouma ni kudanganywa nchi yao haina madini. 😂😂😂
 
Eeh umenigeuzia kibao tena.? 🤣🤣🤣 hapa bongo kuna illigal mining inafanywa na mtu mweupe.? Foreigner.? 🤣🤣 hadi kiama hiyo haiwezi tokea. Kenyans are bafoons acording to Chinese people. Ndio mana wachina wanachimba madini in your country without you knowing.
https://allafrica.com/stories/201608011175.html

Punguza kuropokwa we sokwe, hawa 80 Chinese walipatkana Geita walikua wanafanya nini?
 
Kinachouma ni kudanganywa nchi yao haina madini. 😂😂😂
Unajua shida ya jirani zetu hawa ni kwamba wanaamini sana articles za wazungu 🤣🤣 mzungu akatumia huo huo udhaifu wao, kawaambia ya kwamba nchi yenu yote haina madini na wakaamini 🤣🤣🤣

Wao wanapewa taarifa na wazungu kuhusu nchi yao na wenyewe hawa quastion chochote. Jamaa ni vilaza sana 🤣🤣 wao wanapigania siasa huku, kumbe wachina wanachota madini.
 
Tofauti yao na kondoo ni harufu. 😂😂😂
 
As of today 24th Jan 2025 hawa wachawi bado wanachimba foundation. Alafu sidhani Kama CAF watakubali kupeleka hata training session to this wilderness. Yani out of all places hawa wachawi waliamua kujenga uwanja msituni?

Kwanza hata barabara ya kufika kwa Hii quarry hakuna.
View attachment 3212851
View attachment 3212852
Hi ni ujamaa kwa uhalisi wake, Wako zile za kujenga porini ndo ilete maendeleo kule.. same way they moved the capital yet more than 40 years later, there’s almost nothing to show for it, just a few government buildings now being prepared.
A capitalist will look at its viability, in terms of optimal value and also return on investment, and since it’s government, focuses on functionality as well.. there’s better things to develop a place than a stadium. Waanzie hata soko bana ama izo “basi stendi” zao

Ask your minister, how will it increase tourism? How busy will it be after AFCON assuming it will be one of the venues
IMG_0344.jpeg
 
Hi ni ujamaa kwa uhalisi wake, Wako zile za kujenga porini ndo ilete maendeleo kule.. same way they moved the capital yet more than 40 years later, there’s almost nothing to show for it, just a few government buildings now being prepared.
A capitalist will look at its viability, in terms of optimal value and also return on investment, and since it’s government, focuses on functionality as well.. there’s better things to develop a place than a stadium. Waanzie hata soko bana ama izo “basi stendi” zao
Hakuna capital iliyokua moved 40 yeras ago in Tz. Labda ni kapital yako hiyo 🤣🤣🤣
 
Have you ever heard of something called REITs? Do you even know what is it? Kama hakuna returns then why would a Chinese spend $400M to just build high rises?

Expressway watu wanatumia but only when there is traffic jam on the below road,p. For me I use expressway almost weekly except this week ndio sijatumia.

View attachment 3213410
Unajigamba kumlipa mchina kupita njia ambayo Ipo kwenye nchi yako?
 
We all know kuna dhahabu geita, nyinyi mmewahi kujua kama kuna madini nchini kwenu.? 🤣🤣🤣 bafoon.
Ulianza na kukana hakuna foreigner mweupe wanafanya illegal mining in bongoslum. Eeehhhh wachina mia moja walikamatwa, bado unapinga sio. 🤣 🤣 🤣 Nani alisema Kenya hakuna madini? Kwani unadhani Geography tumekua tukifunzwa nini since primary school?
 
Endelea kuumia, hizo renders ziko hadi kwa site for haters like you to see. Lazima utalilia kwa choo very soon.

Image

Hii mali ya Mchina itawatesa, wewe furahi yale yale ya sgr yenu, sisi tunajenga kwa fedha yetu ni jeuri yetu
 
Back
Top Bottom