chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,691
- 45,960
Bongolalas are the biggest hypocrites in Africa.
View: https://x.com/CapitalDigital_/status/1186686912632934403
Ninyi mna uwezo wa kumuweka mchina under arrest ivo?
Bongolalas are the biggest hypocrites in Africa.
View: https://x.com/CapitalDigital_/status/1186686912632934403
😂😂😂😂 niliskia kondoo mmoja anasema sportpesa inadhamini ligi yetu
View: https://x.com/tplboard/status/1882777340188787006?s=46
Arusha city!Kwani huo uwanja unajengwa Arusha town? Mbona munajenga stadium ushago? 🤣 🤣 🤣
Wakina Kenyatta sio politicians wenye utajiri wa familia!Top ten yetu Kuna wakenya weusi. List yetu haijatawaliwa na warabu kama yenu
Kwani nimelipa na pesa yako? Najua mnatamani tushindwe kulipa lakini utangoja sana.Unajigamba kumlipa mchina kupita njia ambayo Ipo kwenye nchi yako?
Mashambani, rural Arusha.Arusha city!
kati ya wewe na waziri tumuamini nani?😂
Teargas
View: https://x.com/nationafrica/status/1765302835229392935?s=46
Many have been arrested nyinyi si mumeshindwa kuwafukuza Kariakoo.Ninyi mna uwezo wa kumuweka mchina under arrest ivo?
Mmekuwa watumwa kwenye nchi yenu wenyewe yaani mnalipa kodi zinaliwa na mapoliticians harafu wanawachuuza Kwa wachina mmendelee kuwalipa tollsUnaumia ukiwa wapi?
Kwani nimelipa na pesa yako? Najua mnatamani tushindwe kulipa lakini utangoja sana.
One Kenyan company is bigger than top 20 Tanzanian companies combined.
Uzuri T unaishi maisha mazuri kuwaliko. Wewe uko hata na hiyo pesa ya kulipa Mchina?Mmekuwa watumwa kwenye nchi yenu wenyewe yaani mnalipa kodi zinaliwa na mapoliticians harafu wanawachuuza Kwa wachina mmendelee kuwalipa tolls
Hata Kibera iko na Tarmacked roads, so sijui shida yako ni nini?Leo naweka barabara zinazozunguka Mkapa stadium, wale wanaosema imezungukwa na Kibera WaoneView attachment 3213683View attachment 3213683
We huwa unaotaga mchana 🤣🤣One Kenyan company is bigger than top 20 Tanzanian companies combined.
Hizo BRT roads sio tu kibera ni kenyan impossible dream.Hata Kibera iko na Tarmacked roads, so sijui shida yako ni nini?
Take the assets of all the top 20 companies in Tanzania alafu ulinganishe na ya Safaricom pekee, I assure you hazitakaribia hata kidogo.We huwa unaotaga mchana 🤣🤣
Are they tarmacked roads ama sio?Hizo BRT roads sio tu kibera ni kenyan impossible dream.