Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hii hii yenye idadi kubwa ya ombaomba na chokoraa? Unataka ni risk maisha yangu? Hakuna mji nauogopa kama Nairobi aisee. Hamko civilized, sitothubutu kuja mpaka muwe civilized.
Njoo ujulie ndugu zako hali kule River road na Accra road 🤣🤣🤣

Hizo barabara mbili wameteka nyara kabisa
images - 2025-01-24T202227.984.jpeg
 
As of today 24th Jan 2025 hawa wachawi bado wanachimba foundation. Alafu sidhani Kama CAF watakubali kupeleka hata training session to this wilderness. Yani out of all places hawa wachawi waliamua kujenga uwanja msituni?

Kwanza hata barabara ya kufika kwa Hii quarry hakuna.
IMG_1088.jpeg

IMG_1087.jpeg
 
View attachment 3212851
View attachment 3212852
Sasa hapa kunaingilika vipi, 2027 tujiandae kuandaa AFCON
 
Kwanza ni nchi gani itakubali kucheza msituni?

Alafu kitu inanishangaza ni kwamba pamoja na Yale kelele yote Kumbe that mini stadium is being constructed in the middle of nowhere with no connection to electricity and roads.
 
That's a very deserted place by the way. Looks like a game park to me
 
Njoo ujulie ndugu zako hali kule River road na Accra road 🤣🤣🤣

Hizo barabara mbili wameteka nyara kabisa
View attachment 3212844
Mtanzania gn aje Kenya aache nchi ya maziwa na asali? Nchi ina ma slums kushoto kulia nani aje huko, sura za kijaluo hizo, hakuna mtanzania yuko hivyo mweusi tiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uzuri ni kwamba hii povu haitobadili ukweli hata kidogo
 
Facts East Africa ni government of Kenya?

Bongolala, I asked you to give me poverty rate figures from your government or a respected organization. So simple
Lete yako inayosema current figures za 2025🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom