Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I think I was the first person to post the current renders of Talanta, on that day wachawi wote walinicheka wakisema ati ikijengwa watafunga account. That day I got more reactions from hawa wachawi yenye sijaipata before in JF. Fast forward to today washabadilisha gear ati hatujaifuata render😂😂😂
Nakumbuka 🤣 🤣 🤣
 
Endeleeni kubebwa ujinga na ufalamanga!
Endelea kuumia, hizo renders ziko hadi kwa site for haters like you to see. Lazima utalilia kwa choo very soon.

Image

Image


Image

Image

Image
 
So according to your reasoning then let’s agree that even Arusha mini Stadium inamilikiwa na Mchina since writings are in Chinese then translated to English.

Najua Talanta Stadium inawaumiza lakini Hivo ndivyo Hali ilivyo. Talanta is owned by GOK mpende msipende.

View attachment 3212832
Kaoshe akili imejaa tope 😂🤣
Umeambiwa arusha ni ppp?
P ya kwanza kwenye hizo 3 ni private, unajua maana ya private property wewe? 🤣


View: https://x.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=_B-QjwAGBuMJvOkXy_3x5A&s=19
 
Mchina anamiliki mtambo wenu wa piwa, expressway, Talanta, 80% of all high rise buildings hapo Kunyaland na deni almost lote la serikali 🤣😂
Mchina anamiliki kila kitu Tanzania, zile zenye zimebaki zinamilikiwa na warabu na wakenya. Watanzania Kama wewe mmeachiwa uchawi na kuimba mama 24/7.
 
Back
Top Bottom