Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwekezaji wa wachina hapo kenya ni kwasababu ya bogas treaties mkuu not otherwise, wachina kama tungewapa go ahead ya treaties za kipuuzi kama nyie mnavyofanya sahii China ingekuwa imewekeza pesa mingi TZ kuliko nchi yeyote duniani, remember geographically we are the regional economic hub. Fartile land (almost all the land in TZ is arable) madini everywhere, tumezungukwa na nchi nane karibu zote ni land locked countries. Tungeruhusu tu ule mkataba wa bandari bagamoyo $30 billion project sahii
mngekua mshakimbia mijadala ya bandari, sisi ni taifa huru haturuhusu upumbavu mnaofanya.
Treaties za kipuzi ni kama za huko kwenu bongoslum, ndio kwa maana huko wachina wanafanya hawking na kushindana na wauzaji wadogo wadogo because your economy is very informal.
 
Business doesn’t follow emotions. Mbona wachina waliamua kujenga GTC Kenya and not Tanzania? Mbona expressway walileta Kenya na sio Tanzania? Hata mjenge Bagamoyo Kumi bado hamtawaifikia Mombasa Port.
 
Kenyan SGR ni bogas treaty
Nairobi express way ni bogas treaty

Heb taja treaty hata moja ya bongo ambayo ni bogas from china. 😂😂😂😂😂
 
How is SGR bogas? How is expressway bogas? Ama maana ya bogus ndio hujui?
 
Pita huku. 😂😂😂 kupitia gorofa China anapata nini in kenya in return.? 😂😂😂 hadi sahii gorofa ziko vacant. Express way kila siku ni loss people cant afford, SGR ni loss. No wonder chinese wamejitoa ku fund your train to where 😂😂😂. That is becoz wanapata loss
Kenyan SGR ni bogas treaty
Nairobi express way ni bogas treaty

Heb taja treaty hata moja ya bongo ambayo ni bogas from china. 😂😂😂😂😂
 
How is SGR bogas? How is expressway bogas? Ama maana ya bogus ndio hujui?
Acha upumbavu mdogo angu.

SGR inabidi mlipa 30 years ili wakuachiani mradi, na hadi sasa tangu mfungue ni loss tu, sasa je si itafika miaka 100 Nigaz are making money. Je sio bogas treaty.? 😂😂😂

Express way alkadhalika.. you Nigas cant afford using it.. 😂😂😂 ni inabidi mtumie mumlipe in 30 years. Je unadhani haitafika miaks 100.? Je sio bogas treaty.?
 
Kenyan SGR ni bogas treaty
Nairobi express way ni bogas treaty

Heb taja treaty hata moja ya bongo ambayo ni bogas from china. 😂😂😂😂😂
Unajua maana ya treaty au unaropokwa tu. Why are Chinese investors pumping billions in Kenya's economy while bongoslum wanafanya hawking na kuuza mitumba. 🤣 🤣 🤣Mbona BYD na Haval wana showroom Kenya na bongoslum hakuna hata kampuni moja ya kujenga mabasi za China inapatikana huko. 🤣🤣🤣
 
Nataka mtanzania mmoja ajitolee na atuonyeshe penye barabara iko around arusha stadium in this screenshot

View attachment 3213359
Ubaya ni kwamba mimi sio mvivu wa kutafuta taarifa. Nikiamua kukubananisha uchomoi 😂😂😂 haya barabara si hii kando ya uwanja. 👇🏾
IMG_3995.jpeg
chini hapo ji mita 30 kifikia barabara ingine. 😂😂😂
 
Unajua maana ya treaty au unaropokwa tu. Why are Chinese investors pumping billions in Kenya's economy while bongoslum wanafanya hawking na kuuza mitumba. 🤣 🤣 🤣Mbona BYD na Haval wana showroom Kenya na bongoslum hakuna hata kampuni moja ya kujenga mabasi za China inapatikana huko. 🤣🤣🤣
Unataka kunifundisha maana ya treaty.? 😂😂😂
 
City center ya Dar itakuwa poa sana BRT system ikiisha kabisa. Azikiwe na maktaba streets will be the best streets in East Africa.
Phase 3 of BRT will change completely the face of Dar es Salaam City
Itapendeza zaidi ikiwa only Blue gas powered Buses to be allowed in Dar cbd...
Waondoe kabisa bodaboda, tuktuks na Daladala City center baadae waondoe zile Hunting cables za internet
IMG-20250125-WA0001.jpg
 
Unajua maana ya treaty au unaropokwa tu. Why are Chinese investors pumping billions in Kenya's economy while bongoslum wanafanya hawking na kuuza mitumba. 🤣 🤣 🤣Mbona BYD na Haval wana showroom Kenya na bongoslum hakuna hata kampuni moja ya kujenga mabasi za China inapatikana huko. 🤣🤣🤣
Unataka kujua investments za china in Tanzania.? 😂😂😂 utakimbia mzee. Pitia hii 👇🏾
IMG_3996.jpeg
😂😂😂 sisi hatu sign bogas treaties buda.
 
Wewe zoea tu Chinese hawkers, hata Yutong wanaogopa kuwekeza huko bongoslum ju wanajua hamna skills na hawataki kupoteza pesa. 🤣🤣🤣
Youtong intentions zao ni kuwekeza bongo kwasababu ndio wateja wao wakubwa in the region, nani ni competitive to TZ likija suala la kununua buses.? 😂😂😂 ila sisi haturuhusu mikataba ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom