ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ππππππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1882816886385299771?s=46
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1882816886385299771?s=46
Endeleeni kujenga kwa fedha zenu za ndani kwani nani amewakataza.Hii mali ya mchina itawagharimu pamoja unafurahia ni kama SGR yenu inavyowatesa, sisi tunajenga kwa fedha yenu geuri yetu.
Hii mali ya Mchina itawatesa, wewe furahi yale yale ya sgr yenu, sisi tunajenga kwa fedha yetu ni jeuri yetu
One thing you will never understand nor have the pleasure of experiencing is that most Kenyans criticize the government, and the same way that you criticize Kenya, you always say things like Talanta is a 30k seater or it will never be built, but that doesnβt mean itβs true, does it?Alooo, Kenya majokers π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View: https://www.facebook.com/voaswahili/videos/1280539399847109/?app=fbl
View: https://youtu.be/Fs7jEBnCRJU?si=rmWe-4-gHBe7DP0V
MY TAKE
Regional Godfather is stepping in..
unless hujui maana ya MoU πππUchaguzi na kuingia mkataba wapi na wapi?
Kuna sehemu nikipitaga nasema wakundustan wangepata hii picture wangetutesa sana πππMkuu yani kiufipi Posta inahitajika ipigwe renovation ya maana sana, barabara nyingi ni za kizamani, pavement zimechokaa.
nani kaandika haya yani hii ndio source yako na mpaka leo hujui kama unaumwa UTi sugu ππππ
Nilishapita site 1 kwenye shughuli za kikazi wachina wanatukanwa kama vibaka na maleba wa kitanzania, yaani wachina ndio wanawaogopa watanzania πππ Sasa nikiangalia huku kundustans nacheka kweli, kuna eneo hata mchina hawezi kukaa kama mtanzania ni operator wa excavator anasema akili za mtanzania azieleweki hachelewi kumzika πππ na kuna case mbongo alishawahi kumshushia mchina kijiko akamzika site kwa hiyo wanawaogopa watanzania kama ukoma na adabu tele.πππ wachina watawamaliza hawa jamaa. Halafu kwanini ni wadhaifu sana.? mana huyo dogo wa kikenya amekunjwa na kajamaa kakichina kafupi ako. ππ
wanakula bomba kila sehemu ya mwiliπHii nchi is now properly fucked up ππ€£π