Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Youtong intentions zao ni kuwekeza bongo kwasababu ndio wateja wao wakubwa in the region, nani ni competitive to TZ likija suala la kununua buses.? 😂😂😂 ila sisi haturuhusu mikataba ya kipumbavu.
Wamekua na intentions miaka ngapi sasa. 🤣🤣🤣 Hamna skills.
 
Treaties za kipuzi ni kama za huko kwenu bongoslum, ndio kwa maana huko wachina wanafanya hawking na kushindana na wauzaji wadogo wadogo because your economy is very informal.
Wanamiliki hadi butcheries za punda alafu mjinga anatuambia kuhusu treaties 😂😂
 
Good on paper lakini kwa ground tunaona hawkers tu. 🤣🤣 Avic walijaribu kuwekeza pale Kigamboni, sahii wamebaki na ghost town. 🤣🤣🤣
😂😂😂😂 aisee glad nimekutoa ujinga. 😂😂😂 sisi hatusaini mikataba ya kipumbavu, we ahead of time. Taifa la mafala hii region ni nyinyi tu.
 
Good on paper lakini kwa ground tunaona hawkers tu. 🤣🤣 Avic walijaribu kuwekeza pale Kigamboni, sahii wamebaki na ghost town. 🤣🤣🤣
Watoe pesa wapi kununua nyumba! On the contrary, Avic apartments in Nairobi (GTC) are selling like a hot cake
 
😂😂😂😂 aisee glad nimekutoa ujinga. 😂😂😂 sisi hatusaini mikataba ya kipumbavu, we ahead of time. Taifa la mafala hii region ni nyinyi tu.
Mikataba ya kipumbavu wakati wanamiliki hadi vichinjio vya punda 😂
 

Ila kuna watu wehu hapo kwa comment elimu ni muhimu takwimu ni za Data za Mwaka jana NBC timu mbili zilipenya Robo Fainali mabigwa ikiwa Moja ya Nchi mbili tu na Morroco kupeleka Timu mbili.
 
Pita huku. 😂😂😂 kupitia gorofa China anapata nini in kenya in return.? 😂😂😂 hadi sahii gorofa ziko vacant. Express way kila siku ni loss people cant afford, SGR ni loss. No wonder chinese wamejitoa ku fund your train to where 😂😂😂. That is becoz wanapata loss
Have you ever heard of something called REITs? Do you even know what is it? Kama hakuna returns then why would a Chinese spend $400M to just build high rises?

Expressway watu wanatumia but only when there is traffic jam on the below road,p. For me I use expressway almost weekly except this week ndio sijatumia.

Screenshot_20250125-104846_1.jpg
 
Ebu nionyeshe uwanja wowote duniani yenye imejengwa msituni where there is no roads and electricity.

Anyway talking about roads, Ebu tuonyeshe barabara hapa

View attachment 3213253View attachment 3213254

Materials hapo site wamefikisha kwa drones na camp hapo wanatumia koroboi kama slums za kibera na mathare kwa sababu hakuna umeme sio?

Umesha pata muda wa kuta zama huo uwanja wa Hassan II Morocco?
 
Acha upumbavu mdogo angu.

SGR inabidi mlipa 30 years ili wakuachiani mradi, na hadi sasa tangu mfungue ni loss tu, sasa je si itafika miaka 100 Nigaz are making money. Je sio bogas treaty.? 😂😂😂

Express way alkadhalika.. you Nigas cant afford using it.. 😂😂😂 ni inabidi mtumie mumlipe in 30 years. Je unadhani haitafika miaks 100.? Je sio bogas treaty.?
SGR was a loan just like your SGR and not PPP. I use expressway almost daily, sasa sijui ni watu gani hao unaongelea?

Bogas treaties ni hizi hapa.

View: https://x.com/nelson_zaw37883/status/1882895391789896110
 
Materials hapo site wamefikisha kwa drones na camp hapo wanatumia koroboi kama slums za kibera na mathare kwa sababu hakuna umeme sio?

Umesha pata muda wa kuta zama huo uwanja wa Hassan II Morocco?
Wewe Huoni mnachukua mwaka mzima kuchimba tu foundation? Meaning trucks and materials hazifiki site on time, inabidi mfyieke njia katikati ya msitu ndio trucks zipite.
 
Back
Top Bottom