much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Ukiacha politicians wanaojichotea za wajinga hakuna mkenya tajiri zaidi ya wazunguUkijitia utahira me nakuacha tu.. ila ukweli ni kwamba akina baresa wote ni watanzania wazawa kuanzia babu zao. Ila uchumi wa wakenya ni mali ya mzungu na mchina.. wakenya wote ni maskini, kuanzia wewe en your fellow country men in this thread. Tena you guys ni maskini wa kutupa. Facts..