Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Luckin Ivy Residence Westlands, 25 floors.Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651