Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeangalia comments...aisee Wakenya hawapendi any good news from Tanzania.
Yaan yana roho mbaya kama matumbili
Mkikumbushwa that that godown is not the biggest mall in East Africa mnalia. Ama mlitaka tuwaache muendelee kudanganya?😂😂
 
Kabisa hajui chumi na uhalisia maisha yetu yalivyo, Watanzania wengi na wadau wengi wa East na Central Africa wanaenda kushop zaidi kwa retailers, huyu sasa ndo Whole Seller wao. Tusubiri kushuhudia mnyonyoro wa thamani, Kutoka Top to the bottom.
Still it’s not the biggest mall in East Africa. Thatt’s the truth yenye hamtaki kuambiwa😂😂
 
Hii bita unataka kuanza wenzako walijaribu wakashindwa, nakuonyesha buildings zenye ziko under consyrucntion wewe bado unaongelea render. Anyway ukinionyeshe anywhere in Tanzania where a 20 floor building inajengwa natoka JF saa hii. Hizo nyumba za Kariakoo unaongelea ni tu zile za 5 floors zenu za kawaida.
Siongelei render jobless wewe... Nimesema nitakuwa natembelea sehemu ya majengo yanayojengwa render zimewekwa kwenye boards za construction site... Zijui uwa mnaelewa Kwa kuludi nyuma... Mimi sikuletei render Kwa kuwa hayo mambo yakuweka renders skyscrapers tulisha hacha... Majengo mengi niya kampuni binafsi sio serikali. Umelewa jobless
 
Mwenzako anaweka miradi iliyo under construction wewe unaeka renda na picha vifusi. Uchizi mwingine bhana. 😂😂😂
Huyu nimemwambia aweke vifusi vyake vyote akimaliza ipo siku nitaingia either kariakoo au Upanga nimuonyeshe Nini maana ya ujenzi.... Anatuletea mambo ya skyscraper city akizani sisi ni jobless kama wao. Kazi siku zote ufanywa kimia kimia..
 
Siongelei render jobless wewe... Nimesema nitakuwa natembelea sehemu ya majengo yanayojengwa render zimewekwa kwenye boards za construction site... Zijui uwa mnaelewa Kwa kuludi nyuma... Mimi sikuletei render Kwa kuwa hayo mambo yakuweka renders skyscrapers tulisha hacha... Majengo mengi niya kampuni binafsi sio serikali. Umelewa jobless
Acha maneno mengi, just show us any building under construction in Dar with 20 floors and above. Mimi Usiniandikie insha, just post the picture and save us time.
 
Huyo jobless teargass niachieni mimi jameni... Kwa nini mnampeleka kasi... Hachana na iyo TRA... Nitamuingiza upanga na kariakoo Kuna watu wanainua minazi kimia kimia. Mwizi akamatwi kwa kelele nyingi...
Im still waiting for the pictures of buildings under condtruction in Dar with 20 floors.😂😂😂
 
Inategemea. Cheapest, inakuja baada ya kulinganisha gharama za usafiri wa aina zote pamoja na anga, kwa umbali mrefu (mfano bara moja hadi jingine). Ila linapokuja suala la usafirishaji kwa treni ya umeme, tena umeme wa nguvu ya maji, ukiongeza uharaka wa kufika, reli ndo kila kitu.
Cheapest in the sense that meli inabeba containers nyingi at a go hence cost effectiveness yake inakuwa juu.
 
Back
Top Bottom