Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Your country only have 10,000kmof paved roads😂😂😂.Zinaendelea kuongezeka 🤣🤣🤣🤣from 1000.
Stupid Kundudweller
Alafu hiyo report nimegoa kwa link ulinipea😂😂
Your country only have 10,000kmof paved roads😂😂😂.Zinaendelea kuongezeka 🤣🤣🤣🤣from 1000.
Stupid Kundudweller
Mzee umeshindwa kuleta barabara yenye urefu wa 1000km? 🤣 🤣 🤣
Waulize wakenya wenzako kila siku wanapita barabara hii wakienda South Africa.
View attachment 3157798
This road is not fully paved, kama unapinga Leta video evidenc
🤣 🤣 🤣 Unatia hurumaYour country only have 10,000kmof paved roads😂😂😂.
Alafu hiyo report nimegoa kwa link ulinipea😂😂
Wasikilize wakenya wenzako... they travelled 1200km in Tanzania without see any pothole...and all roads are tarmac.
Wanasema wenyew kuwa Tanzania has best roads compared to kenya
Nyinyi wakenya wa eldoret ndo mko hapa mnasema Nairobi alone has 7000km😂😂
View: https://youtu.be/N_5vVmMg5tw?si=QMazkDz_dChJ1OoZ
Imagination nation!Tatizo unaishi kwenye image nation 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza kwenye Mining.
Kuna Nickel Mining - Unajua matumizi yake? Kuna cobalt kutoka Burundi. Kuna Copper kutoka DRC and so many.
Homepage - Tembo Nickel
tembonickel.com
Wewe chizi kweli tujenge sgr ya 35 tons per axle na nyie mjenge ya 25 tons per axle halafu useme yetu iko focused kwenye abiria nadhani akili yako itakuwa haina akili.Usilinganishe SGR yenye Iko focused kwa mizigo na SGR Iko focused kwa abiria. SGR ya Kenya for every 1 train ya abiria inayoondoka Mombasa kuelekea Nairobi, kuna treni kama tatu au zaidi za mizigo zinazoondoka. SGR ya Kenya ilianza kubeba mizigo kabla ibebe abiria. Kwa hivo ukihesabu number ya abiria hapo Vumbistan alafu uconclude train yenu ni more successful utakuwa unajidanganya.
Soko limeanza kufunguka around hiyo mida.So 2023 ilikuwa wakati wa CoVID. Kwani ni lazima tu mpinge kila kitu?😂😂😂
Hizo Arrows huoni zimepoint 2023?😂😂😂👇👇
View attachment 3157881
Tena sio mwaka wa COVID? JKIA alone has been handling passengers than all your airports combined😂😂😂Soko limeanza kufunguka around hiyo mida.
Yes on paper as always. Kenyan electrified paper train🤣🤣🤣Yes, our SGR had provision for electrification.
JKIA ipi ule mwembe au Kuna nyingine.Tena sio mwaka wa COVID? JKIA alone has been handling passengers than all your airports combined😂😂😂
Usiwape kichwa cargo yao ni 80kphPia Speed 120. Km/h PAX while Cargo 100 km/h!
JKIA handles more passengers than all Tanzanian airports combined😂😂JKIA ipi ule mwembe au Kuna nyingine.
We decided to electrify the country first before we electrify the train. Nyinyi mnaelectrify the train while 60% of Tanzanians bado hawana electricity kwao😂😂Yes on paper as always. Kenyan electrified paper train🤣🤣🤣
Tarura bado takwimu zao.Ila we jamaa ni kilaza na ni mpumbavu wa kufa mtu. 😂😂😂 hizi takwimu mbona zinakuumbua sasa.? Wewe umedai ni 10k km .? 😂😂 haya heb tuone ni hivyo.? Jedwali hili hapa. View attachment 3157684Takwimu za 2021 ndio zimeeleza idadi ya barabara zote zinazomilikiwa na Tanroads all around the country.
2021 statistics (barabara za lami)
Barabara kuu zimatajwa = 9,058
Barabara za mikoa = 2,228
Barabara zinazounganisha wilaya na miji mikuu = 2,274
Je ni sawa na 10k km of roads accorfing to this poor boy Teargas .? 😂😂
Haya njoo kwene hesabu chukua 9,058+2,228+2,274= 13,560km of roads.
Mind you, hizi ni statistics za Tanroads tu. Tena ni za mwaka 2021 huko.