Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nimekuwekea kila kitu halafu unataka nikutafunie. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tanzania is very organized nation. Mama Ngina Propaganda zinafaa huko kwenu tu. Not Tanzania.
Your country can’t even pave 15,000km of roads.😂😂
 
Trains za kukwama msituni?😂😂
Umeishiwa hoja. Umeanza kutoa vioja sasa. Leo tu umepata bahati ni po free. Hiyo M1 nani alikupatia msaada 🤣🤣🤣🤣

1732193250394.png
 
Your country can’t even pave 15,000km of roads.😂😂
Hayo ni mawazo yako na wakenya wenzako. Has nothing to do with The United Republic of Tanzania.

Kama mnashindwa kulima mahindi tu. Mambo ya barabara mtayaweza 🤣🤣🤣

Mnategemea msaada toka USA na China
 
Embu acha utani kijana unaketa data za wakati wa COVID ili ujifurahishe. Tourism is booming in Tanzania.
So 2023 ilikuwa wakati wa CoVID. Kwani ni lazima tu mpinge kila kitu?😂😂😂


Hizo Arrows huoni zimepoint 2023?😂😂😂👇👇

IMG_0777.jpeg
 
TARURA only have 2,000km of completed paved roads and planning to achieve 3,000km by this year😂😂👇👇

IMG_0786.png
 
Na kama kweli Uganda atajenga reli yake ya umeme kuunganisha na reli ya makaa ya mawe ya kule North basi nitaamini kama sio JPM basi hata bomba la mafuta lingepita Kenya, hii iwape ufahamu wale jamaa zetu wa kusifusifu ujinga kwamba vitu havitokei kwa huruma na kujuana inatakiwa vipambaniwe, muwe na ushawishi na maarifa kama ya JPM. Na hiyo ndiyo sababu wakenya wengi hawataki hata kumsikia JPM coz kawaharibia future.

Just imagine reli aliyobuni yeye for a short period of time imesafirisha abiria inayokaribia idadi ya abiria waliosafirishwa na reli ya makaa ya mawe kwa miaka 8.
Kipande cha Malaba to Kampala Uganda hana ujanja zaidi ya ku match specs za Kenya in terms of axle load. But other sections of Uganda rail will be of different specs.
 
Back
Top Bottom