Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Hilo la uwajibikaji awamu hii, ni kweli hata kama wenzetu hapa wanakataa.ndio hichi nachozungumza hapa muda wote kwa sasa hakuna uwajibikaji wala ushawishi hata waziri mkuu wa nchi hii humsikii makamu humsikii kabisa.
ikiwa tunapeleka reli mwanza kwa ajili ya uganda alaf leo uganda anajenga kwenda malaba kuunganisha na kenya unafkiri tutaweza kushindana na mombasa to malaba ambayo kwao ni simu moja na nusu treni iko kampala kwetu itachukua 3 days na ukiweka na mambo ya kutowajibika hata siku 5 itachukua
wakat mwengine tukubali ukweli sio kila kitu kusifia tu all the time wakat mambo yanaharibika
Kuhusu Museveni kujenga reli Malaba, inaweza tuu kuwa ni katika kuwapoza Wakenya baada ya bomba kupitia Tz. Pia inampa Uganda the upper hand kibiashara, kupunguza gharama (supply/demand)