AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,112
- 2,963
Hatari sana yani..
Ingekuwa mambo yako hivyo Tanzania ingepotea sasa kipindi muasisi Baba wa Taifa alipotutoka na mambo yangeharibika.
Lakini Taifa bado lipo na litaendelea kuwepo no matter ni Kiongozi gani au yupi... 😂😂

Vijana wanapenda wanasiasa/viongozi kuliko nchi yao. 😂😂😂