Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza Ulole Tanzania Kuna sehemu tunafeli huko kwenye biashara, haiwezi Kampuni za ndege ziwe na direct flights Kundustan wakati Abiria over 60% ni wanakuja Tanzania.

Mtu aende Kundustan Kwa kipi hasa? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_lQH3sY6m/?igsh=MTJocXM0cm9tbzNibg==
Screenshot_20241125-115146.jpg
Screenshot_20241125-115255.jpg
 
Juzi nimepita pale Tanzanite Bridge, vyuma vya kingo za baharini zimenyofolewa si mchezo, imebidi wafunge kamba na ishara za hatari, sasa lile daraja lina camera, inawezekanaje mtu anakuja ananyofoa vyuma anasepa na hakuna mtu kakamatwa? Zile camera za kazi gani pale? Au mpaka mtu apandikize bomu pale ndio tustuke? Hili na hili la treni linatia hasira sana.
Incompetence.
 
Geza Ulole Tanzania Kuna sehemu tunafeli huko kwenye biashara, haiwezi Kampuni za ndege ziwe na direct flights Kundustan wakati Abiria over 60% ni wanakuja Tanzania.

Mtu aende Kundustan Kwa kipi hasa? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_lQH3sY6m/?igsh=MTJocXM0cm9tbzNibg==View attachment 3161053View attachment 3161054

Kabsaa ndio maana alipoondolewa CEO Matindi nimeona sawa ila sina uhakika na replacement yake haina track record! Actually 50 PAX less than 40% walishuka Mombasa! Mwingine ni Kadogosa anapaswa kutolewa TRC pia!
 
Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
Kuna ajari ilitokea pale. Kama unakumbuka tuhuma za SG wa chama fulani gari kupata ajari pale likiwa linaendeshwa na kimada mpaka akaondoka kwenye u SG.
 
Ha ha ha sio hivyo. Zile ni barrier zilizogongwa wanazibadili. Wameondoa zilizopinda wanasubiri kuweka mpya. Pia njia ya watembea kwa miguu kingo zake baadhi zimeliwa na kutu wameziondoa wanaleta nyingine. Kawaida kazi za serikali ziko slow,
Noted mkuu.

Ila still ukiona hiyo Reli na miundombinu mingine ikishajengwa baasi tena.

Tunahitaji Chombo cha kumaintain infrastructure kila mwaka kuwa na hali ya ubora kila siku na kupendezeshq mji wetu.

Ifike muda wasimamizi wa hiyo miundombinu wafungwe na miundombinu kiutendaji, plus malipo.

Unakuta mtu yupo kwenye sure payroll ya Treasury huku ana performance mbovu kabisa. Na mshahara unaingia.
 
Tunataka kuwa kama Kenya sasa, mradi unakuwa mpya kwa mwezi mmoja tu, mwezi unaofuata ushazeeka.
Acha tu. Alafu kuna watu wanachekea eti waachwe mara machinga.

Yaaani billion 300 zinatumika kuweka mradi jitu linakuja na vijarida vya kanisa uchwara anazungushia nguzo mpaka haitamaniki tena kupiga picha kuonesha world class infrastructure.

Kuna mwingine anavunja fensi akabandike nguzo ya ndani alafu watu wanaona poa tu.

Side walk ni za pedestrian zinaupa mji hadhi nzuri, kujaza wamachinga na kuruhusu bodaboda kuendeshapo ni ujinga sana.

Ulaya hatufiki kwa hali hii check hata India ina uchumi sijui ya Tatu Duniani ila ukienda sasa asee.
 
So Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!
 
Acha tu. Alafu kuna watu wanachekea eti waachwe mara machinga.

Yaaani billion 300 zinatumika kuweka mradi jitu linakuja na vijarida vya kanisa uchwara anazungushia nguzo mpaka haitamaniki tena kupiga picha kuonesha world class infrastructure.

Kuna mwingine anavunja fensi akabandike nguzo ya ndani alafu watu wanaona poa tu.

Side walk ni za pedestrian zinaupa mji hadhi nzuri, kujaza wamachinga na kuruhusu bodaboda kuendeshapo ni ujinga sana.

Ulaya hatufiki kwa hali hii check hata India ina uchumi sijui ya Tatu Duniani ila ukienda sasa asee.
Kimsingi tuna viongozi don't care. Mfano pale Mbezi mwisho... interchange nzr kabisa lakin kumejazwa mabanda ya machinga sio poa.

Bado suala la kuruhusu Bajaji kufanya routes kwenye highways na kuingia city Centre linashangaza future ya Dar kuwa world class city.
Sijui hata watalii wakija wanatuonaje sometimes
 
Back
Top Bottom