Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nakubaliana na ww usafiri wa maji ni cheap what about time?? tunaeza maintain time ??? ikiww wao watapeleka train direct from mombasa to kampala kwa siku moja na nusu je sisi tunaeza tumia siku ngap?? je tutawajibika?? je tuko tayar ??
Mwanza to Port Bell ni overnight trip tuu. Sasa train ikitoka Dar Port in 7 hours iko mwanza then marshaling overnight iko Port bell. Yaani from Dar to Port Bell in 24 hours.
 
kaka mm sikurupuki twende taratibu utanielewa tu 😂😂😂 usinambie mipango haipo wakat tulikua tunaiweka hapa kua uganda kutakua na two options through mwanza to port bell na through bukoba to kampala

tupende zaidi kukubaliana na ukweli
Option ya Uganda via Mutukula mipango mlikuwa mnaweka nyie hapa JF lakini sio mipango ya serikali. Mpango wa serikali ni ku serve route ya Uganda from lake victoria.
Hilo nginjanginja litachukua 2 days kufika malaba at 80kph then half a day to Kampala at most the whole trip will use 3 days Mombasa to Kampala.

Tz sgr 7 hours to mwanza from Dar port then overnight to Port Bell hardly 24 hours.
 
You should be concerned with your dead country which doesn’t have any building above 15 floors coming up.

A 40 floor Oramia Insurance Tower in Addis Ababa.
View attachment 3161488View attachment 3161489
Kuna majengo mengi yanayozidi 15floors yanajengwa kariakoo Kila kukicha... Kariakoo inabomolewa mpaka kero... Sema watu awayaweki kutokana nakuwa ni watu binafsi... Kwa mfano ili la big bon ni 17 floors... Yupo Tosh logistic anashusha kitu, Majengo yote ya NHC kariakoo yanabomelewa zinajengwa skyscrapers za maana.... Kuna watu wanazuuliwa hadi vibali vya ujenzi kupunguza fujo... Dar inajengeka sana kwa sasa
Screenshot_20241126-005936.png
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜
Screenshot_20241126-005936.png
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Wakati Nairobi tushachoka na kuona majengo ya 30 floors, nyinyi bado mnaitana kutafuta majengo ya 15 floors kwa torch nchi nzima, kuwa na aibu kijana.

Marble West 31 Floors, Westlands.

1732574515692.jpeg

1732574559896.jpeg
 
Kuna majengo mengi yanayozidi 15floors yanajengwa kariakoo Kila kukicha... Kariakoo inabomolewa mpaka kero... Sema watu awayaweki kutokana nakuwa ni watu binafsi... Kwa mfano ili la big bon ni 17 floors... Yupo Tosh logistic anashusha kitu, Majengo yote ya NHC kariakoo yanabomelewa zinajengwa skyscrapers za maana.... Kuna watu wanazuuliwa hadi vibali vya ujenzi kupunguza fujo... Dar inajengeka sana kwa sasaView attachment 3161648
I thought hata ungetushtua na render ya 30 floors kumbe ni tu 15 floors exactly. Westlands alone is doing more buildings above that floors than all East African Countries combined excluding Ethiopia.

Montblue Westlands, 31 floors.
1732574841656.jpeg

1732574889087.png
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Kwa mambo ya Gorofa ngoja siku nyingine lakini sio leo.

Emerald Spring Westlands, 30 floors x 2
1732577516958.jpeg

1732575047612.jpeg

1732575111617.jpeg

1732575138818.jpeg

1732575164151.jpeg
 
Kuna majengo mengi yanayozidi 15floors yanajengwa kariakoo Kila kukicha... Kariakoo inabomolewa mpaka kero... Sema watu awayaweki kutokana nakuwa ni watu binafsi... Kwa mfano ili la big bon ni 17 floors... Yupo Tosh logistic anashusha kitu, Majengo yote ya NHC kariakoo yanabomelewa zinajengwa skyscrapers za maana.... Kuna watu wanazuuliwa hadi vibali vya ujenzi kupunguza fujo... Dar inajengeka sana kwa sasaView attachment 3161648
Nendeni mkatafute zenu, hata westlands imeshinda entire Tanzania when it comes to yall buildings.

Grosvenor Westlands, 30 floors x 2.

1732575548928.jpeg

1732575662241.jpeg

1732575743735.jpeg
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Capella Residence Westlands.

1732575918424.jpeg

1732575954513.jpeg

1732575982348.png
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
1870 West Westlands, 37 floors x 2.

1732576136623.jpeg

1732576156778.jpeg
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Oak West Residence Westlands, 28 floors.

1732576259325.jpeg

1732576276763.jpeg

1732576309870.jpeg
 
Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Le Mirage Westlands, 30 floors.

1732576476885.jpeg

1732576501349.jpeg

1732576597042.jpeg

1732576618311.jpeg
 
Back
Top Bottom