President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,766
- 89,791
Tatizo elimu kijana inakusumbua. Somo la Geograph hujui.Nani hajui Burundi? The poorest country in the world nani akose kujua?😂😂
Nakufumbua macho kidogo tu. Burundi is the extention of Congo DR. East Africa German ilikuwa inatwala mpaka Burundi na Rwanda. Baada ya German kushindwa kwenye WW1 Tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa UK halafu Burundi na Rwanda zikaangukia Belgium aliyekuwa anatawala Congo DR. Hii ni kutokana Belgium alikuwa weak France aweze kuchukua madini ya Burundi.
Soma Geography achana na propaganda za Mama Ngina
Burundi has resources of copper, cobalt, nickel, feldspar, phosphate rock, quartzite, and rare reserves of uranium, and vanadium.